Jana asubuhi katika kipindi cha magazeti mtangazaji alisoma maoni ya mhariri yanayohusu kukamatwa kwa Msigwa na Kasulumbayi kwamba wamefanya vurugu.
Na leo pia katika kipindi hicho hicho kafanya hivo kwa kusoma maoni katika katika gazeti la Mtanzania mhariri akiwaponda wabunge wa CHADEMA waliokamatwa.
Kama hiyo haitoshi leo katika kipindi cha MATUKIO ikaripotiwa habari ya wanachama wa CCM waliojeruhiwa wakiwa hospitalini lakini cha kilichonishangaza ni pale watangazaji walipoanza kuikoleza hii habari kwa kuunga mkono kauli ya mwenyeketi wa CCM-Shinyanga ili kuisafisha CCM na kuiharibu taswira ya CHADEMA.
Maswali yangu kwa RFA:
1. Hamkuona Machemli na Kiwia (wabungu wa CHADEMA) hapo mwanza walipokatwa mapanga? Mbona hamkufanya hivo?
2. kule arusha bomu lilirushwa mkutanoni (CHADEMA) lakini hamkwenda Mount meru wala Seliani?
3. Aliuawa Masud Mbwana huko Igunga kwenye kampeni, lakini ninyi mnaona vurugu akiumia wa CCM?
Maoni yangu:
Ni bora mkafanye kazi za CCM kuliko kuwa chombo cha habari bila kuwa biased kuliko kueneza propaganda chafu dhidi ya CHADEMA.
Kupitia RFA Mgeja anasema vyama vingine vinashindana kwa hoja, sasa mimi naona chama kizuri kwa CCM ni ambacho hakina nguvu. Tunakumbuka NCCR na CUF walivopakaziwa uchafu wa kila aina lakini leo Mgeja anasema ni vya kistaarabu?
Kama RFA mnaona propaganda zina msaada mbona Anton Diallo mwenye redio hamkuweza kumnusuru 2010?
Mwisho kabisa nasema endeleeni kutumika ila tutawaonyesha njia.