Revised Edition

dazu

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
365
76
Ukienda mahakamani, unapocite sheria mbele ya Jaji unatakiwa kutumia kutumia chapter no, revised ed 2002 kwa mfano, The criminal procedure Act, Cap 20 RE 2002, Kwa upande mwingine Wabunge wetu ambao ndio watunzi wa sheria zenyewe hawatambui revised edition ya 2002 badala yake hutumia namba ya sheria kama walivyoitunga wenyewe, mfano, The criminal procedure Act, no. 5 of 1985. Sasa hapa sisi wadau wengine tumfuate nani? Bunge lililotunga au mahakama zinazotafsiri? Naomba mwongozo wenu wana jamvi
 
Back
Top Bottom