Revealed; DC WA IGUNGA Fatuma Joseph Kimario Sio Muislamu.

Status
Not open for further replies.
Astaghfilullah
DC wa Igunga Bi.Fatuma Kimario ameolewa na bwana Joseph Kimario kwa ndoa ya kikatoliki, ambaye huyu Joseph ni mzaliwa wa Wilaya ya Rombo Kilimanjaro kutoka kijiji cha Olel, kata ya Makiidi na Tarafa ya Mkuu . Huyu mumewe kwa sasa anaishi Mbezi Beach jijini DSM na wanajenga nyumba nyingine Tegeta jijini DSM .
Hii picha ni ya shamba la DC lililopo Tegeta katika nyumba yake na mumewe Kimario.

View attachment 37784
 
watu wanadanganyika na majina. Wakisikia mtu anaitwa Fatuma au Juma basi ni mwislamu. Akiitwa Joseph au magdalena basi ni Mkristo. Ni makosa sana kuhukumu dini ya mtu kwa kuangalia jina lake. Wengi - nawafahamu hata kijijini kwangu - wana majina ya Juma, tatu, Tano, Hamisi, nk lakini si waislamu. Wapo pia kina Harun, Daudi, Yusufu, Ayubu ambao kwa kuangalia majina tu utadhani wote ni wakristo, lakini sivyo kwani wapo wenye majina hayo lakini ni waislamu. Kuna haja ya kuwa waangalifu kabla ya kung'aka.
 
Kama ni kweli basi ni aibu kuanzia kwa mufti hadi kwa waislam wote, hasa malaria sugu na tropical

aibu kwake na kwa wanaomtetea mimi kama muislam siwez kupata aibu wala kuaibishwa na DC maana njj zake ndo zinamfanya afuge ,mbuzi katoliki......,uislam hauruhusu kula wala kumfuga huyu mdudu
 
Bakwata aibu yenu wenyewe. Nawashauri waislam wote makin waitose bakwata. kwani imegeuka kuwa jumuia ya ccm. Kuropoka ndio zao. Sijui watasemaje juu ya hili. Aibu.
 
kweli hakuna kilicho jificha chini ya jua, na pia nimeamini dunia ni kitongoji.
Hii habari ikiishia humu JF haitakuwa na maana yoyote kwa jinsi bakwata na ccm yake walivyokwisha mwaga sumu. cha msingi ni kuichapisha kwenye gazeti lolote ili wananchi wajue ukweli. siyo watu wote wanaokuja humu JF, ni sisi wachache tu tuliopitia kwenye makaratasi ndio tunaweza kuingia na kusoma habari za humu JF. kwa maoni yangu nadhani sasa magazeti makini kama mwananchi na tz daima yairushe hii habari baada ya kuifanyia uchunguzi wa kutosha ili kujiridhisha kuwa ni ya kweli na ya uhakika.
Big up wafatiliaji wa hii taarifa.....
 
duu aibuuu! bakwata wamekalia 'poti la mtoto', Prof.Abdallah Safari aliwaambia wangefanya subra kwa kuwa jambo liko mahakamani na hukumu ikitoka wanaweza kuumbuka zaidi!
 
DC wa Igunga Bi.Fatuma Kimario ameolewa na bwana Joseph Kimario kwa ndoa ya kikatoliki, ambaye huyu Joseph ni mzaliwa wa Wilaya ya Rombo Kilimanjaro kutoka kijiji cha Olel, kata ya Makiidi na Tarafa ya Mkuu . Huyu mumewe kwa sasa anaishi Mbezi Beach jijini DSM na wanajenga nyumba nyingine Tegeta jijini DSM .
Hii picha ni ya shamba la DC lililopo Tegeta katika nyumba yake na mumewe Kimario.

View attachment 37784

Ni VIZURI UNGEFANYA UHARIRI WA THREAD YAKO ILI WATU WENGI WAWEZE KUISOMA KAMA VILE KUONGEZEA NENO" KITIMOTO"ILI IVUTIE ZAIDI
 
Duh... kumbe muheshimiwa DC anafuga mbuzi katoliki Tegeta, na mme wake ni Mzee wa Kanisa RC, na kali kuliko yote DC ni member wa BAKWATA... Aibu iliyoje..
 
Dah jamani Jf ni zaidi ya TIS, afu ukiangalia vizuri noah wa upande wa kulia ana neno la kurani kwenye mabega sijui watataka kumtolea tamko.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom