Rev Fr Masanilo and Bujibuji!!!

Na wewe acha ushamba, hilo neno Nalog off ndio umelijuwa mwaka huu, ongeza basi na shut down.
Kha! We nawe wa wapi? Aliyekuambia mie wa mjini ni nani? Kama hilo neno ni zuri si ulitumie mwenyewe. Nalog off
 
Na wewe acha ushamba, hilo neno Nalog off ndio umelijuwa mwaka huu, ongeza basi na shut down.

Nimeona matangazo yako humu JF kuwa ulikuwa Uingereza kuna mtu alikuona ofisi za Conservative ukibadilishana mawazo na David Cameroon..

Hongera kijana napata ushungu!
 
thread ya malaria sugu lazima rev masa aijibu!natamani tuwakutanishe kwenye ulingo wa boxing.
 
Mwenzenu jana niliteguka mbavu kwa kicheko na ile sredi ya 'paka aliyeongelewa kuwa na mahips ya nguvu' yaani kila nikiwaza sipati jibu mhusika kama alikuwa ok au ndo mambo ya pombe hadi afike mahali aone paka kajazia, mweeeeeeee!
 
Nimeona matangazo yako humu JF kuwa ulikuwa Uingereza kuna mtu alikuona ofisi za Conservative ukibadilishana mawazo na David Cameroon..

Hongera kijana napata ushungu!
Yaani wewe uti wa mgongo ulikutosha kabisa, huo ubongo angepewa mtoto mwenye mtindio wa ubongo ungemsaidia sana maana wewe hauna kazi nao.
Mimi nilikuwa UK kwa safari zangu binafsi, mimi ni deiwaka na riziki yangu ni kama mbwa iko miguuni, David Cameron mimi ananihusu nini? Dunia mzima inajuwa kwamba anaekwenda Ulaya na Marekani kuomba omba ni Jakaya Kikwete.
 
Mbona nasikia wewe ndio Malaria Sugu
he! Malaria Sugu na Rev Fr Masanilo wakianza kujibizana na kama upo kwenye public place lazima watu wakuwahishe mirembe kwa vicheko utavyoachia wakidhani umekuwa chizi! Nafikiri hata Mods sometimes wanazichunia post zao bila ban maana hata wao hujikuta hawana mbavu kwa majibizano yao!
 
tena ongeza jina la mwita25 na la uporoto wana
majibu ya mkato mkato tena yakutia hasira.
 
Back
Top Bottom