Rev Fr Masanilo and Bujibuji!!!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Kiukweli hawa jamaa post zao kiboko,huwa nacheka kama juha!huwa nachoka kabisa Rev Fr Masanilo anapowatania ndugu zetu waleee(suruali fupi fupi!!).wakuu mna talent ya kuchekesha kwenye keyboard!!
 
ukiona siku imekaa vibaya we tafuta post za hawa jamaa lazima uvunje mbavu!!
 
Rev Masanilo anapenda siasa,halafu ana majibu mafupi ya kuchekesha.
Bujibuji yeye navyohisi hayupo kisiasa sana ila anapenda majukwaa mengi.
ila wote nawakubali
 
Sijawahi kuziona post zao. Ngoja kuanzia leo nizitafute ili nami nicheke.
 
Sijawahi kuziona post zao. Ngoja kuanzia leo nizitafute ili nami nicheke.

JF Senior Expert Member Array


Join Date : 2nd February 2011

Location : DUNIANI

Posts : 4,753

Rep Power : 30




Kwa speed hiyo hapo juu inawezekana hutoziona kabisa post zao, maana inaonekana hutulii sehemu ukarelax.
 
Back
Top Bottom