Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Mwaka ushapita sasa tunaomba wana Temeke na wana Dar na JF kwa ujumle mtuleteee report card ya huyu ABBAS ZUBERI MTEMVU
Je Mbunge huyu alitoa ahadi zipi kwa wana Temeke
Je ana elimu gani?
Komsomea nini
Kasoma wapi?
Je kashatekeleza ngapi?
Je yumo kwenye kamati zipi?
Je anato access kwa wapiga kura wake?
Je ana ofisi jimboni kwake?
Je anayo website?
Je anayo namba maalum ya kuwasiliana na wapiga kura wake?
Je anayo Facebook page?
Je anapatikana kwenye Twitter?
Je ana fanya surgery (kukutana na kuwasikiliza ) wapiga kura wake?
Je ame declare interests zipi kama mtumishi wa umma?
Je analipwa mshahara kiasi gani?
Je anachukua posho?
Kiasi gani anachukua kwa mwezi?
Je wana Temeke wanamaoni gani kuhusu performance yake?
Je potential competitors wake in 2015 ni akina nani?
Je ana maoni gani kuhusiana na blue print ya kuliendeleza jumbo la Temeke?
Je amopokea zawadi sosote toka kwa wafanyabiashara au watu binafsi?
Zawadi hizo ni zipi?
Je ame declare kama amepokea hizo zawadi?
Je private life yake ni reflection ya hao anawa wakilisha?
Je Temeke kuna issues 5 kubwa ambazo alitakiwa kuzishughulia je ni zipi?
Je ana shiriki kwenye shughuli za kijamii (yuko close na wapiga kura wake) au haonekani mpaka kutokee issue yenye kumpa publicity?
Je kwa Mtazamo wa haraka haraka ABBAS MTEMVU atarudishwa tena na wan Temeke in 2015?
Je ni Cabinet material? If so wizara gani itamfaa?
Rough estimates za Budget ya Abbas Mtemvu kulichukua tena jimbo la Temeke ni kiasi gani?