mkuu unaweza kabisa ku upgrade windows xp to windows 7 bila kupoteza data zako, lakini huwezi ku repair windows xp kwa disc ya windows 7.Ninataka niweke window 7 kwenye PC yenye window XP S P 2 ila kuna programs na documents ninaweza poteza, hivyo nikafikria option ya reparing. Vipi hii kitu inawezekana?
Nilimaanisha upgrading kama wadau hapo juu walivyo elekekeza. But still kuna insue ya baadhi ya softwares kama Java Compiler na Text Pad kusumbua ktk baadhi ya PCs zenye window 7 na Vista, vipi kuna sababu obvious za hii kituReparing maana yake nini?
Kama una maanisha ku fix ubovu, tatizo ni nini?
Upgrade optn sio ina apply kwa wanaotumia vista?
Nilimaanisha upgrading kama wadau hapo juu walivyo elekekeza. But still kuna insue ya baadhi ya softwares kama Java Compiler na Text Pad kusumbua ktk baadhi ya PCs zenye window 7 na Vista, vipi kuna sababu obvious za hii kitu
Oh sorry, Uko right mkuu. Kwa XP itambidi afanye custom installation. Upgrading from Windows XP to Windows 7 - Help & How-to - Microsoft Windows