Remembering my father...!

Miaka 22 sasa nilikuwa mdogo mpaka sasa ni mama wa familia namkumbuka sana baba angu mpenzi, i would like to dance with him again
 
Pole sana J'Gwalu. Mshukuru Mungu kwamba ulimwona na una kumbukumbu ya uwepo wake wakati huo. Mungu akupe faraja na ustahimilivu. May his soul rest in eternal peace. Amen.
 
Miaka 22 sasa nilikuwa mdogo mpaka sasa ni mama wa familia namkumbuka sana baba angu mpenzi, i would like to dance with him again

Days have turned into years, pole sana Gaga. Kumbuka, there is someone up there who will never leave you. He is always there for us all. May He give you strength and courage in your whole life. RIP Baba Gaga.
 
Inatubidi kushukru kwa kila jambo.Niliondokewa na mzee wangu siku 10 baada ya harusi yangu.Nilikosa ujasili na kulia kama mwanake.
 
Nashukuru sana watu wa Mungu kwa muitikio wenu kwenye hilo, pia mniwie radhi kwa ambao nimetonesha machungu...... japo maramoja kwa mwaka sio mbaya kuchukua sehemu ya furaha yako kwaajiri ya kumbukumbu za wale tuliowapenda zaidi.
Kwa mara ya kwanza nimewaona wanajmvi wenzangu wa JamiiForum (vijana wa Msekwa) kama ndugu zangu, nimewashirikisha wanafamilia hapa home wamesoma comment zenu nao wamependa sana.
Much love to u all......
 
maisha ndivyo yalivyo, binadamu tunakuja na kuondoka, pole sana, nami wakati mzee anafariki namimi napewa taarifa sikuweza kuam ini kwa haraka, ila ndo hali halisi.
 
"
IF I COULD GET,
ANOTHER CHANCE,
ANOTHER WALK,
ANOTHER DANCE WITH HIM
I'd PLAY A SONG,
THAT WILL NEVER EVER...
HOW I'd LOVE LOVE TO DANCE WITH MY FATHER AGAIN.."

Thats Luther Vandros,2003 album.... Dance with my Father, all along kipindi hicho chote cha kuupenda huo wimbo toka ilipotoka hiyo album, sikuwa kudhani kama ingekuja nyakati kama hizi. Ambapo kila neno lina maana sana kwenye maisha yangu, ambapo nausikiliza tena huo wimbo huku nikitokwa machozi...tena na tena. For sure i just wish could get only a minute to dance with my Father again.

Ni mwaka sasa unapita toka siku aliyofarki (22nd April 2010).

man dats so touchin. Am stil wt ma dad bt we ain getn along very wel. We quarel alot n smtyms i wndr if he luvs me man,its so sad man. Since i waz born up 2now am not sure if even a single time he has told me that he luvs me,he z only proud of me wen i do thingz whc please him bt wen i make evn a slight mistake,he changes sudenly. Am not sure if i'l ever get a chance 2dance with my father
 
Miaka mitatu sasa imetimia tangu yatokee kwa familia yetu. Kuna wakati natumia hata masaa mawili kuangalia picha nilizopiga katika ziku zake za mwisho kwa mkono wangu mwenyewe. Mara nyingi naishia kufikiri kuwa IT WAS TOO EARLY FOR HIM TO GO. Kikubwa zaidi Inaniuma sana lakini siwezi kubadilisha matokeo. Na hivo nalazimika kukubali hali halisi.

R.I.P MY DAD!!
 
Pole ndugu yangu hayo mambo yanauma sana ingawa yamewekwa kama SIRI na Mwenyezi MUNGU
 
Pole mkuu tuko pamoja nawe..ashukuriwe alie juu mana yeye anaweza yote, kifo kisikie tu radioni usiombe kikukute!!! mana mimi pia nilifiwa na Baba yangu miaka 6 imepita bado namlilia...father is n alwaiz will remain an important person to the house as a unification factor n the family icon...
 
"
IF I COULD GET,
ANOTHER CHANCE,
ANOTHER WALK,
ANOTHER DANCE WITH HIM
I'd PLAY A SONG,
THAT WILL NEVER EVER...
HOW I'd LOVE LOVE TO DANCE WITH MY FATHER AGAIN.."

Thats Luther Vandros,2003 album.... Dance with my Father, all along kipindi hicho chote cha kuupenda huo wimbo toka ilipotoka hiyo album, sikuwa kudhani kama ingekuja nyakati kama hizi. Ambapo kila neno lina maana sana kwenye maisha yangu, ambapo nausikiliza tena huo wimbo huku nikitokwa machozi...tena na tena. For sure i just wish could get only a minute to dance with my Father again.

Ni mwaka sasa unapita toka siku aliyofarki (22nd April 2010).

Pole sasa kaka. I know how you feel for I lost a father too and we where very close and in some way a friend to me. I really hope this part of ONE SWEET DAY (by Carey & Boys 2 men) cheers you atleast a bit.

Sorry, I never told you, all I wanted to say.
Now it's too late to hold you. '
Cause you've flown away, so far away.
Never, Had I imagined, yeah, living without your smile.
Feelin' and knowing you hear me. It keeps me alive. Alive!
And I know you're shining down on me from Heaven,
Like so many friends we've lost along the way,
And I know eventually we'll be together.
One sweet day...
 
man dats so touchin. Am stil wt ma dad bt we ain getn along very wel. We quarel alot n smtyms i wndr if he luvs me man,its so sad man. Since i waz born up 2now am not sure if even a single time he has told me that he luvs me,he z only proud of me wen i do thingz whc please him bt wen i make evn a slight mistake,he changes sudenly. Am not sure if i'l ever get a chance 2dance with my father

I believe he loves you its just unfortunate that men are not good with emotions especially if it involves a Son, in his mind somewhere he thinks he is making you stronger. It is really difficult to be a parent loved by a kid once grown up bt we try our best. Usimkatie tamaa kabisa coz angekua hakupendi angekua indifferent asijali kabisa which is worse!
 
pole sana kaka...... hata mimi kila nikickiza hyo nymbo huwa napata shida mno....... baba yangu alifariki mwaka jana mwez january....... alikuwa m2 muhimu sana katika maisha yangu hapa duniani.....
 
Pole sana,umenikumbusha Mengi,my daD passed away 10April last year,its so sad dearz ,RIP our dad.
 
Back
Top Bottom