Remembering my father...!

jouneGwalu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,687
1,780
"
IF I COULD GET,
ANOTHER CHANCE,
ANOTHER WALK,
ANOTHER DANCE WITH HIM
I'd PLAY A SONG,
THAT WILL NEVER EVER...
HOW I'd LOVE LOVE TO DANCE WITH MY FATHER AGAIN.."

Thats Luther Vandros,2003 album.... Dance with my Father, all along kipindi hicho chote cha kuupenda huo wimbo toka ilipotoka hiyo album, sikuwa kudhani kama ingekuja nyakati kama hizi. Ambapo kila neno lina maana sana kwenye maisha yangu, ambapo nausikiliza tena huo wimbo huku nikitokwa machozi...tena na tena. For sure i just wish could get only a minute to dance with my Father again.

Ni mwaka sasa unapita toka siku aliyofarki (22nd April 2010).
 
mmhhh pole sana my dear
ni mengi yatakukumbusha baba
Picha, Nyimbo, mavazi , familia na mengine mengi..

saa nyingine mie naona
si vizuri kukaa na ku wish vitu
amabvyo wafahamu kabisa havitatokea..

Ni bora kusikiliza nyimbo ambazo
yeye alikuwa anazipenda na vitu kama hivyo
ni bora kumkumbuka kwa mazuri na uzuri wake..
na si kujiongezea majonzi ..

kweli siku kama hii ya leo ita kukumbusha mengi..
kama ninavyowaambia wengine kumbuka..
"anakuangalia sasa na anakucheka jinsi uavyo lalamika"
kumbuka yuko nyumbani , dahhhh sasa labda anakata ugali wa samaki
...

Naelewa unachopitia kwani nami nimepitia ....
Pole sana
 
Mkuu, be strong. Baba alikuwa anakufundisha ni jinsi gani uje kuwa mzazi ktk family yako au uliyonayo au utakayokuwa nayo.
Amini Mungu amemuweka mahali pema na wewe amekuletea mwingine ambaye atakuwa baba kwako. Ishi vema ili siku moja uje ukutane naye.
His soul rest in peace, AMEN.
 
Poleni wote wandugu naamini Mungu ataendelea kuwatunza, kuwalinda, na kuwapa faraja za moyo.
 

Attachments

  • p_01511.jpg
    p_01511.jpg
    2.6 KB · Views: 95
Pole sana, hatuna tofauti sana, mimi pia alkufa kipindi cha kwaresma km hiki, tunatofautiana tarehe tu. Umenkumbusha mengi. RID DADY!
 
Back
Top Bottom