Reliable internet connection for a cafe

futikamba

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
243
13
Habari zenu wadau.... Nahitaji msaada wenu
Nataka kufungua internet cafe sasa nipo kwenye njia panda. Kuna SASATEL & TTCL.
Ni ipi kati ya hawa providers wana cheap, reliable & speedy internet connection?
Msaada wenu wa mawazo ni wa muhimu.
Natanguliza shukrani!
 
Habari zenu wadau.... Nahitaji msaada wenu
Nataka kufungua internet cafe sasa nipo kwenye njia panda. Kuna SASATEL & TTCL.
Ni ipi kati ya hawa providers wana cheap, reliable & speedy internet connection?
Msaada wenu wa mawazo ni wa muhimu.
Natanguliza shukrani!

Speed inategemea fweza yako tu muzee!
 
Sasatel na TTCL ndio wanatumiwa zaidi kwenye Cafe nyingi

Sasatel - Speed Nzuri , wako reliable, na unaweza kuunganishwa siku hiyo hiyo (nunua CDMA Router yao, cafe nyingi hutumia hichi kifaa). Ila bei za bundle ziko kidogo juu ya TTCL, zimepishana kidogo.

TTCL - Wana speed nzuri siku hizi , bei zao za bundle zimepunguzwa. ILA hawako reliable na mpaka uvute nyaya za simu. Lakini kama unayo simu tayari sio shida sana.

Kazi Kwako.

B.P (2010)
 
Na wale walioko mbali (kwenye ****** ya nchi) ambako Sasatel haikamati itabidi watumie ttcl hata kama hawaipendi, au sio?
 


Zain na Zantel bei na huduma zao zikoje?

Hasa kwa biashara ya cafe.

I wouldnt recomend any of these! kama ni kwa ajili ya biashara usibane matumizi-wateja wanataka speed (siku hz watu wanaenda net kudownload files kubwa kubwa). Nunua speed nzuri watu watakuja.
 
I use TTCL, it really good in the morning times. But at around 16:00 to 20:00 it almost useless. It could be just me
 
Back
Top Bottom