Regia Mtema

Status
Not open for further replies.
Imenitokea kwamba binafsi namwamini sana Regia.
Sijawahi kukutana nae ana kwa ana, lakini nimeongea nae kwa simu mara kadha na kumwona kwenye kampeni kupitia tv na clips za you-tube jf. Ni dada ambae yuko committed sn na haamini ktk kushindwa.
Kama ataretain msimamo alio nao basi yeye ni potential ya pekee sn kwa cdm,makundi yote ya jamii, na taifa kwa jumla.
Mungu ambariki sana.

Ni kiongozi shupavu na anao uwezo! Ni msikivu na mwenye kujifunza daima. Ni hazina kwa CDM na taifa!
 
Shy ni aina ya watu waliokata tamaa kutokana na ukosefu wa utimilifu wa ndoto zao...ni aina ya wale watu wanaoishi maisha ya kufikirika...the guy is simply miserable!

mkuu.... kuna kundi na mtiririko wa watu kama hawa ambao hufo kubwa imewaingia baada ya hili wimbi kubwa la watanzania kuzinduka usingizini kutaka kujua, kutafuta na kutaka kupata haki muhimu katika maendeleo ya maisha yao..... hii hofu imewashika wale ambao hawakuwahi kuvuja jasho na wamekua wakiishi na ndugu na familia zao maisha ya ufalme wa mbingu kwa dhuluma na wizi wa ustadi .... ona huyu bwana anavyoonyesha kuwa na donge, wivu na kikorosho kwa Regia Mtema pasipo na sababu lukuki au tu ni kwa hofu yake kwamba ..siku za mwizi ni arobaini.....shy....siku zimefikia thelasini na tano... zimebaki siku tano .., na hofu uliyonayo itageuka majuto.... manunguniko ya wananchi ndiyo yatakayotimiza hukumu na kuigeuza hofu yako na viongozi wako wa sisiem kuwa hope for our nation

Dada Regia.... god bless you..... mapambano yanaendele
 
Sure shy ana mapungufu na matatizo kama ilivyo kwa kila mtu

Lakini ukiona hata mtiririko wa commnets hii sio thread ya siasa jamani.Huo ni ukweli.
Ingawa anayeoongelewa ni mwanasiasa content haina hoja ya sisasa.

Jamani lets not politicize everything. Ndio maana nchi yetu imefika hapa ilipo.
 
Wandugu acheni stereotypes.

Regia mwanamke wa shoka na mwanasiasa shupavu nukta.

Mbona na wewe unatenda dhambi ile ile aliyotenda mwanzisha mada? Ukisema ni mwanamke wa shoka bado umembagua. Ushoka wake siyo kwa sababu ya jinsi yake bali kwa sababu ya uwezo wake. Vema ukisema ni mpiganaji wa shoka au ni mwanasiasa wa shoka.
 
Sure shy ana mapungufu na matatizo kama ilivyo kwa kila mtu

Lakini ukiona hata mtiririko wa commnets hii sio thread ya siasa jamani.Huo ni ukweli.
Ingawa anayeoongelewa ni mwanasiasa content haina hoja ya sisasa.

Jamani lets not politicize everything. Ndio maana nchi yetu imefika hapa ilipo.

in any knowledge there is politics.... remember there is political economy and political science...je hii ni ku politicize uchumi....? regia is a political figure ... only her appearance at any stage stands enough to be politically discussed
 
Regia ni mwanasiasa shupavu nukta.
 
Namkubali sana Regia pia,ni kiongozi mwenye uchungu na watu wake,msikivu,mnyenyekevu na jasiri.

Nafurahi kuona amepambana kufika alipofika,anastahili na kweli ni mfano wa kuigwa na kinadada na kinamama.

Mungu azidi kumwinua,atuwakilishe vizuri na 2015 ashinde Kilombero awatumikie zaidi wananchi anaowapa kipaumbele.
 
- Mheshimiwa Regia, ubarikiwe sana you have a big fan in me na ninashukuru sana kwamba unajitahidi sana kuwasaidia wananchi wa Kilombero, I went to school there napafahamu sana, ni matumaini yangu utawasaidia sana wananchi wa lile jimbo hata ukiwa kwenye viti maalum.

- Mh. Regia endelea na kazi uliyotumwa na Mungu, I appreciate chatting with you kule facebook kila unapopata nafasi Mungu akubarikie sana na akutangulie kwenye shughuli zako za kila siku!

Your Friend,

William @ NYC, USA.
 
Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU
what's the point?

Mwenye uwezo wa kuthubutu kupanda jukwaa?

Amesema nini, amefanya nini Mabibo au kokote?
 
in any knowledge there is politics.... remember there is political economy and political science...je hii ni ku politicize uchumi....? regia is a political figure ... only her appearance at any stage stands enough to be politically discussed

Yes u know u can politicise anything but there are things wich can be done bette or best if loooked from diiffrent view than politics.

But inaeleweka hata member wa hapa wengi tanaangalia na kuchangia kwenye siasa zaidi. kwa hiyo mtu ukitaka thread ipate publicity na comments nyingi ni kuiweka kwenye siasa.

Anyway Regia Nakufagilia wawaaaaaaaaaa
 
Sure shy ana mapungufu na matatizo kama ilivyo kwa kila mtu

Lakini ukiona hata mtiririko wa commnets hii sio thread ya siasa jamani.Huo ni ukweli.
Ingawa anayeoongelewa ni mwanasiasa content haina hoja ya sisasa.

Jamani lets not politicize everything. Ndio maana nchi yetu imefika hapa ilipo.

Swali; mada ni nini!!??? Please can you extract in one line?
 
Regia namfahamu alivyompiganaji tangia akiwa SUA. Mungu ambariki katika ukombozi wa Taifa letu linaloteketea na mafisadi wa CCM.
 
Imenitokea kwamba binafsi namwamini sana Regia.
Sijawahi kukutana nae ana kwa ana, lakini nimeongea nae kwa simu mara kadha na kumwona kwenye kampeni kupitia tv na clips za you-tube jf. Ni dada ambae yuko committed sn na haamini ktk kushindwa.
Kama ataretain msimamo alio nao basi yeye ni potential ya pekee sn kwa cdm,makundi yote ya jamii, na taifa kwa jumla.
Mungu ambariki sana.

..This is real cool!!
 
Swali; mada ni nini!!??? Please can you extract in one line?

mada hii ni habari mchanganyiko au kwenye pongezi angekosea sana angeiweka kwenye celebrity. Ila habri mchanganyiko ndiko mahali pake.

speaker said:
Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a hero!

Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya kujua atakuwepo pia!
Ilipofika mda wa zitto kumuita jukwaani nilishangazwa na swali alilo muuliza
"Utaweza kupanda hapa?" sikujua kwa nini,nilihisi labda kwa kuwa ni parefu sana!

Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU NA NI MFANO WA KUIGWA KWA WAMAMA WOTE!

Am proud of you Regy....

Hivi hapa kuna hoja yeyote ya siasa? au Angalia hata comments 34 zilizopita kama kuna comment ina ideology yeyote sa siasa

teh teh teh
 
Mbona na wewe unatenda dhambi ile ile aliyotenda mwanzisha mada? Ukisema ni mwanamke wa shoka bado umembagua. Ushoka wake siyo kwa sababu ya jinsi yake bali kwa sababu ya uwezo wake. Vema ukisema ni mpiganaji wa shoka au ni mwanasiasa wa shoka.

Mwanamke ni Identity yeye ni mwanamke huwezi ukachange hicho.... Ushoka wake ni Ujasiri wake... kwahiyo tunasema yule mtu ni mwanasiasa wa shoka... nani ? jibu, mwanamke...

Ni kama tunavyosema Mwanaume wa Shoka..., kutaja Jinsia sio kubagua ni kupata clarity ya the person in question..., anyway the she is great and she is doing more than 99.9% of CCM members of parliament who are busy chewing our hard earned cash...
BRAVO Regia, You are a Role Model....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom