Regia Mtema

Status
Not open for further replies.

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a heroine!

Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya kujua atakuwepo pia!
Ilipofika mda wa zitto kumuita jukwaani nilishangazwa na swali alilo muuliza
"Utaweza kupanda hapa?" sikujua kwa nini,nilihisi labda kwa kuwa ni parefu sana!

Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU NA NI MFANO WA KUIGWA KWA WAMAMA WOTE!

Added today 04/03/2011
"mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA kutoka mkoa wa Morogoro, Bi. Regia Mtema alijitolea kumchangia mlemavu huyo shilingi 100,000 kila mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia hiyo juzi."
1,200,000/= kwa mwaka!
Kutoa ni moyo sio utajiri,nashukuru kuwa naendelea kufahamu huyu dada ni kiongozi wa namna gani!

Big up again Regy
 
Mkuu ni kweli kabisa. Dunia ya leo haitaji ubaguzi wa aina yoyote,na wanacdm pamoja na wananchi wamelitambua ilo na dada Regia Mtema ni mfano wa kuigwa kwa makundi yote tuliyomo hapa Tanzania. Mkuu mtukuze Mungu kwa kila jambo.
 
Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
Unahitaji kuwa na brain ya kuelewa subject matter, mleta hoja anamzungumzia Regia as a politician not as a person na humu ni mwake, mahala husika.
 
Regia sasa ni Mwana siasa. Na alikuwa kwenye Jukwaa la SIASA.

Unataka aweke wapi? Shy, acha kujifanya na wewe umekuwa KIRANJA ahhh Kiranga.

U-Kuhani si wa kuiga. Inabidi tu uwe hivyo siku zote na watu wakuzoee.

Speaker, usitishike na mtu hapa.

Regia ni kweli kabisa, katuaibisha hata sisi watani wake wa Sikonge.
 
Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a hero!

Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya kujua atakuwepo pia!
Ilipofika mda wa zitto kumuita jukwaani nilishangazwa na swali alilo muuliza
"Utaweza kupanda hapa?" sikujua kwa nini,nilihisi labda kwa kuwa ni parefu sana!

Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU NA NI MFANO WA KUIGWA KWA WAMAMA WOTE!

Am proud of you Regy....
Speaker, asante kwa hii, nami pia nilimfahamu Regia kupitia JF, wakati wa harakati za uchaguzi mkuu, thread fulani ya Mzee Mwanakijiji ndio ilinifungua macho. Kesema ukweli ni mwanamke wa shoka haswa. Nilipomuona pale Bungeni Dodoma, nilimkubali!.
Kusema kweli timu ya Chema bungeni, ni moto wa kuotea mbali, naisubiria Februari 8 kwa hamu!.
 
Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a hero!

Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya kujua atakuwepo pia!
Ilipofika mda wa zitto kumuita jukwaani nilishangazwa na swali alilo muuliza
"Utaweza kupanda hapa?" sikujua kwa nini,nilihisi labda kwa kuwa ni parefu sana!
Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU NA NI MFANO WA KUIGWA KWA WAMAMA WOTE!

Am proud of you Regy....

Yaani kipindi cha mwezi mzima wa october hukubahatika kuperuzi media? Mbona alikuwa akitokea mahazetini kwa sana tu? Yaani hata wakati wa kuapishwa wabunge hukufuatilia?
 
Yaani kipindi cha mwezi mzima wa october hukubahatika kuperuzi media? Mbona alikuwa akitokea mahazetini kwa sana tu? Yaani hata wakati wa kuapishwa wabunge hukufuatilia?

Nop,nimebahatika leo!
Trust me,nime muheshimu sana na nime mshukuru Mungu kwa ajili yake!
Ni mwanamke jasiri sana
 
Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika

Join DateThu Nov 2006
Posts4,639
Thanks0
Thanked 366 Times in 194 Posts
Una roho mbaya wewe!
Yani toka 2006 huja wahi kushukuru mtu hata mmoja kwa lolote lile????ops
 
Imenitokea kwamba binafsi namwamini sana Regia.
Sijawahi kukutana nae ana kwa ana, lakini nimeongea nae kwa simu mara kadha na kumwona kwenye kampeni kupitia tv na clips za you-tube jf. Ni dada ambae yuko committed sn na haamini ktk kushindwa.
Kama ataretain msimamo alio nao basi yeye ni potential ya pekee sn kwa cdm,makundi yote ya jamii, na taifa kwa jumla.
Mungu ambariki sana.
 
Sidhani kama nimeelewa mada yako ni nini mkuu. Unajaribu kutuambia kwamba hukujua tangu umezaliwa hadi Leo kwamba mtu mlemavu anafikiri na kuongea kama wewe usiye mlemavu? Kama hivyo ndivyo basi nadhani tukujadili wewe.

Au unajaribu kutuambia kwamba regia alipewa fursa aliyo nayo kwa sababu Chadema walitaka kuonesha kwamba siyo wabaguzi? Kama hivyo ndivyo, unahitaji kuomba radhi kwa regia na Chadema.
 
Shy ni aina ya watu waliokata tamaa kutokana na ukosefu wa utimilifu wa ndoto zao...ni aina ya wale watu wanaoishi maisha ya kufikirika...the guy is simply miserable!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom