Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
Mbunge viti maalum chadema afariki dunia, kwenye hiyo ajali
source radio one
 
Amepata ajali maeneo ya ruvu

Poleni makamanda

Ni member wa jamii forum thread yake ya mwisho humu ilikua kukusanya maoni,na mie ndo nilikua mchangiaji wa kwanza ambae nilitoa maoni ya wafatilie viongozi waliojiuzia nyumba,poleni chadema

Source:ITV breaking Newz
 
Ni masikitiko makubwa katika siasa kwani mbunge machachali ndg Regia Mtema leo saatano asubuhi amefariki baada ya kupata ajali pamoja na ndugu zake. Habari zinasema gari lilipinduka mara kadhaa baada ya ku overtake gari lingine. Source:ITV breakingNEWS
 
kwa mujibu wa itv breaking news ni kuwa gari ya mheshimiwa ilipoteza muelekeo wakati ikitaka ku overtake gari nyingine na kupoteza muelekeo ikapinduka mara tatu na inasemekana mama yake mzazi alikuwa miongoni mwa abiria
 
It is so hard to believe, sometimes as human beings we tend to ask ourselves but why........allah knows best, he who knows what we don't .........???? Gone to soon.......inna lilah wainna ilaih rajiun
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom