Regia Mtema is No More!

Status
Not open for further replies.
HAKIKA SISI WOTE NI WAJA WA ALLAH NA KWAKE NI MAREJEO

''Kuna ajali imetokea Ruvu ambapo gari la mbunge maalum wa Chadema jimbo la Kilombero Regia Mtema limegonga coaster na kusababisha kifo kwa mbunge huyo. Taarifa kutoka Kibaha zinasema mida hii mwili wa mbunge huyo ndio unaingia katika mochwari ya Tumbi, Kibaha.'' SOURCE lukwangule entertainment
Ee mungu wangu kumbe ni kweli!:yawn: jamani! jamani! sijui siku ya leo itakuwaje kwangu mimi alikuwa ni jembe langu la ukweli kalale pema peponi Kamanda.
 
Ni kweli Dada Mtema hatunae tena kuna mtu kanijulisha sasa hivi!!!!
 
lo mtu mzima machozi yananitoka kumpoteza mpiganaji wetu jamani hivi ni kweli? Why God?
 
Mungu wanguuu!!! May her soul RIP.Regia umetutoka wakati bado twakuhitaji katika wakati huu mgumu kwa Taifa letu.IMENIUMA SANA KWA KUMPOTEZA MTU MAKINI NA SHUPAVU
 
Ni kweli amefariki Regia.Nimepata uthibitisho kutoka makao makuu.My Lord.Rest in Peace Regia.
 
Ahhhh aise ni ngumu kukubaliana na hili
Ahhh Kamanda Mumgu aipumzishe roho yako mahali pema
 
Eeewe Mwenyezi Mungu.. Tujaalie roho ya Subra na uvumilivu katika kipindi hichi kigumu....Hakika jina lako li Imidiwe Milele...Ulitoa na umetwaa tena!! Daaaaaaah!!!
 
dah, juzi tu ulianzisha uzi hapa jf kutaka kero zetu ambazo ungependa mkaongelee bungeni! Leo umekufa! kweli KIFO HAKINA HURUMA, REST IN PEACE.
 
hii taarifa imenifanya nianze kujihoji'kumbe maisha ya binadam ni mafupi kiasi hiki?mungu mpe pumziko la milele!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom