Sijakuelewa kiongozi.
Okay. Ngoja niwaandikie maana wiki sasa sijaiona
Okay. Ngoja niwaandikie maana wiki sasa sijaiona
Mkuu nenda benki yako ambayo wamekupa hiyo Master Card. Print hiyo barua nenda nayo kama ushahidi then wataichukua wakaifanyie kazi. Usitegemee ziingie automatically, hazitaingia. Ila tegemea pesa kidogo kuliko hiyo waliokwambia itaingia.
Mi nilirudishiwa 1200000 ila kwenye akaunt wakaniwekea 730000 nilidata.
Kwa hiyo 84,000 nitegemee kama 50,000? Hi I hasara
Tatizo nafikiri huwa ni exchange rates. Benki nyingi huuza dola Kwa bei kubwa kuliko ya soko na kununua Kwa bei ya chini kuliko sokoni. Yaani unaponunua bidhaa nje na una Tshs account unatumia shs nyingi kupata dola kuliko sokoni. Hiyo dola inaporudi unapata shs chache kuliko ungebadilisha nje ya benki
- Hapa ndipo unakuja umuhimu wa account maalumu katika USD badala ya TSH iwapo unafanya manunuzi mara kwa mara kwenye mtandao.