Redio DW: Watu 32 wamekamatwa wakielekea Mbeya kwenda kufanya vurugu

tz kwa movie ni noma sijui steling atakuwa nani wakati huu na production itakuwa ya nani cz iliyopita producer alijitahidi hadi akaleta washiriki kutoka kenya si juii hii na ni atakuwa guest steling
 
polisi naona akili zao bapa kabisa
maana waliondolewa mahakamani kuendesha kesi kwani kesi zilikuwa zinatupwa sana kwa kukosa ushahidi.
ni usanii wa kutupwa, kwa nchi kama Tanzania ambayo ina uhuru wa kutembea utakako wamewakamata kwa ushahidi gani?
jeshi la polisi linahitaji kufumuliwa upya.
 
mwangos tulikuwa nae mara nyingi kwenye mikutano ya chadema na hapa iringa mjini anaheshimika na kupendwa na kila rika........wendawazimu wanaangaika...kama walivyofanya kwa ulimboka kumleta kichaa mkenya ili hawachomoki...bomu limemuua

Wapumbavu wakubwa, wanataka kutengeneza movie hao, ijulikane kuwa m4c wana kikos kazi cha fujo
 
Si rahisi kuelewa vitu kama hivi:

Kwani wanaofanya fujo ni polisi au raia?----majibu yanaeleweka na hayahitaji kuyatafuta.
 
WAMESEMA 32 WAMEKAMATWA KWENYE BASI WAKITOKA IRINGA KWENDA MBEYA 'WALIKOENDA KUFANYA VURUGU'! NA WENGINE 7 WAKO NDANI TANGU JANA, JUMLA 39 KWA MUJIBU WA BW SENZO AMBAYE NI MSEMAJI WA JESHI LA POLIccm..

mkuu huyo msemaji ni mrs wa mtu, halafu anashangaza sana namna alivyovikwa roho ya uongo na kutokujali.
 
hakuna dhambi mbaya kama kuua.kweli tumefika pabaya.hivi katika historia ya watu kuuawa kuna mtu amewahi kuuawa kama alivyo fanyiwa MWANGOSI???
 
Walisema cdm wamepeleka mungiki Igunga kuua watu, halafu wa cdm ndio wakauawa, wakasema cdm imepeleka alshabab Arumeru, wanachama wa cdm wakauawa, wakasema cdm wamepanga kuua watu Morogoro, polisi ndio wakaua. Sasa wanasema wamekamata watu wanaokwenda kufanya fujo Mbeya, nategemea fujo watafanya wao. Maana histora ni mwalimu.
 
Redio DW BON, imeripoti kuwa JEshi la polisi limewakamata watu 32 waliokuwa wakiend Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa. Pia Kuna watu waliokamatwa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi. Msemaji wa Polisi ameulizwa kuhusu kilichomuua Mwangosi, JIBU: Inasemekana anepigwa na kitu ambacho mpaka sasa hakijafahamika bado mpaka uchunguzi ufanyike

Mwache huyu kamanda wa polisi aendelee kuweweseka,kwani unafikiri kuua binaadamu ni Jambo la kawaida!!?
 
Insikitisha na kutia huzuni sana kwa kumpoteza mpambanaji kama marehemu Daud polisi wanasema alipigwa na kitu je wakati wanamzingira pale chini nani alikuwa amebeba hicho kitu? jibu rahisi ni polisi
 
usipoangalia polisi hawakawii kusema marehemu Mwangosi alijiua mwenyewe

Du wewe kweli ni great thinker, ulichosema nimekiona humu kuna mwendawazimu mmoja inaonekana ni kada wa Chama Cha Mashetani anaeleza kuwa Mwangosi amejiua, ukweli ni kuwa propaganda zao kwa sasa hazina nafasi tena
 
hii ni kali sijawahi sikia watu anasafiri kwenda kufanya vurugu msibani ,

tujiulize hizi vurugu wangemfanyia nani ?? wafiwa au ...

hii yote ni defensive mechanism but in a wrong strategy

RIP DAUDI MWANGOSI
 
yani wapo kwenye basi wanaenda kufanya vurugu mbeya!!!utafanyaje vurugu kabla hujafika?mbona siuelewi uongo huu
 
Mm naanza lipolisi lizee nakaa nalo jirani hata na manati nalitoboa macho yanakera.

bwana mkubwa huyo ni baba mkwe wangu.....ukifanya hivyo nami natia kiberiti hiyo nyumba yako...najua pia ndugu zako hawatakubali wanaweza kumaliza ukoo wetu wote...unadhani waumini wenzangu watakaa kimya?? wachoma nyumba zenu za ibada.......halafu.....kisha........????????
 
Back
Top Bottom