Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Majirani wamepoooa!


Niliwahi kuwaambia humu, tafuteni mapema replacement ta wale wazee pale katikati. Vile vitoto mlivyojaza pale havina maajabu. Wakipoteana tu wale wazee, team nzima anazurula tu uwanjani.

Msipokua makini, next season mtakua na hali mbaya sana. Fanyeni usajili pale kati!
 
Watani, siku hizi mko tia maji tia maji sana. Hata mechi za kushinda bado mnashinda kwa taaaaabu. Mimi nakuja taratibu, sina mpango wa kushinda ligi. Ila ole wenu mnipe nafasi. Ole wenu!
 
uyo zidane tulimla kochwa msimu ulopita. Kwenye H2H hujashinda game hata moja huoni kaama wewe ni underdog?
CHELSEA kwenye UEFA wamewahi kukutana na REAL MADRID mara moja tu - msimu uliopita, mguu wa kwanza matokeo yalikuwa droo ya 1 - 1, mguu wa pili mlishinda 2 - 0, kwa ujumla REAL wana rekodi nzuri dhidi ya CHELSEA, wana WIN 2 'CHAMPIONS CUP' na 'UEFA' wana DRAW 1, wakati CHELSEA wana WIN 1 tu na DRAW 1
 
Back
Top Bottom