Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii game imetuonyesha mapungufu yetu mengi. Modric analiweza dimba kama kroos na casemiro wanakaba vizuri. Camavinga na valvelde wakiaminiwa watakuja saidia kaka zao kroos na casemiro. Muda wa nacho na mariano kuuzwa au kuachwa waende free umefika.
Dogo vasquez naona chini ya anceloti haaminiki kingali dogo huwa ana confidence moja kali kukaba na kushambulia.
Hongera my wetu barca. Leo ilikuwa inaenda mechi ya tisa hamjapata ushindi dhidi ya madrid. Hongera blaugarana
 
Back
Top Bottom