Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,200
- 820
Natumia Dell laptop Latitude D510, window XP 2007, nilikuwa natumia Mozilla Firefox kubrowse mitandao. Speed yake ni nzuri na nili-ifurahia. Kizaa zaa kilikuja baada ya ku-install VLC media player! Mozilla Firefox ikagoma, ilibidi nii-unnstall VLC na mozilla yanyewe.
Nikadownload na install Mozilla pekee yake lakini imegoma kufunguka nikigonga shortcut icon kwenye Desktop. Nimejaribu nimeshindwa, Mozilla firefox naipenda kwa speed yake, je nifanyeje ifunguke?
Naombeni msaada! Hii Internet Explorer indachelewa kufunguka-siipendi!