Masika
JF-Expert Member
- Sep 18, 2009
- 723
- 30
Habari wana teknolojia wa jf
Nina pc yangu inanisumbua, Start button is missing,start and taskbar haifunguki, explorer.exe haifunguki lakini naweza kulogon na kufungua data zangu anuai,kingine siwezi ku unga na net natumia tigo sasa dashboard yake hai funguki nimeitoa na ku install upya imegoma pengine ningekuwa online ningeweza kupata mwongozo
Natumi os window xp
Hp intel(R)
Pentium (R) D CPU 3.00GHz 2.39GHz,0.99GB RAM
NAOMBENI MSAADA NA KAMA nahitaji ku repair window naombeni maana sina cd ya os