Duh bwana mkubwa nae kwa kupenda uma-harufu hajambo,yaani mateja woote wa nchi hii kamuona "kiuno bila mfupa" tu?,kama ni muungwana kiasi hicho si angefungua rehabilitation centre ili mateja wote wanufaike.
Makubwa kawa hivi huyu mrembo?! Pole yake
Habar za siku dada Dena Amsi
Hatimaye baada ya Ray C kuteseka kwa muda mrefu bila kupata mtu wa kumfadhali hela ya matibabu hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ajitosa kumfadhali. Akiongea katika viwanja vya Ikulu Ray C amemshukuru Rais Kikwete kwa moyo aliouonyesha wa kumsaidia matibabu na sasa hivi anaendelea vizuri.
SWALI:
1.Rais Kikwete ametambua sasa madhara ya madawa ya kulevya, Je, atawachukulia hatua sasa wote wanauzia madawa ya kulevya maana kuna tetesi kuwa anayo majina ya DRUG DEALERS?
2. Je, ni Ray C tu mwenye aliyekumbwa na tatizo la kuwa TEJA? Watanzania wengine tena nguvu kazi kubwa ambayo imeshadhirika na madawa ya kulevya ana mpango upi wa kuwasaidia? Ama wao hawastahili msaada?
AIDHA; Nampongeza Rais Kikwete kwa moyo wake wa kumuokoa Mtanzania huyu " RAY C" maana angepotea na talent yake ya uimbaji.
Nzuri nilikuwa napenda sana nyimbo zake.........wewe potea sana kulikoni?
Nipo dear,
Enzi za Ray c bana acha kabisa