Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

Jamani huyu ni Ray C kweli??machoni ni kama yeye lakini sura kama vile sio yeye as if ni kibibi flan toka korea kaskazini. Kweli unga noumer.

kwa taarifa ya Itv wamefcha hata maelezo yake wamesema hawawez kuweka maelezo yake au kuweka wazi eneo alilokuwa anatibiwa
walionyesha clip huku mtangazaj anaongea
Kwa tetesi nilizokuwa nazisikia huku Dom kuwa yuko milembe na msanii wa daz nundaz kama sikosei sasa kama ni kweli wewe na uchiz wako zunguka tz nzima milembe ndo break
hapa hata uingie kimodo vp utakula dawa unatoka na shavu hilooo!!
Chezea milembe wewe
 
JK hawezi kusaidia mateja wote wa nchi hii chamsingi wadau wengine wajitokeze. Watu wanatoa pesa nyingi ku spons vitu vya ajabu ajabu mbona hamsemi?
 
kuwasaidia niliowasaidia ni pamoja na kutokusema kama nimewasaidia maana hainisaidii mimi wala huyo niliyemsaidia!
kama ameitoa personal kwanini ikulu itumike!kwanini vyombo vya habri vya kitaifa vitumike?kama watanzania unaowaaminisha hapa ni wenye akili za aina yako basi ni kweli zinachekesha sana!
sina tatizo na ray c kama mwathirika wa madawa ya kulevya!
anayenishangaza ni huyo anayetaka kutumia madhara makubwa kabisa wanayopata vijana kujitangaza!
hili ndilo tatizo langu!kama wewe bado hujaliona inategemea una uwanda upi wa kufikiri kwa kiwango chako cha hali ya juu kabisa!

Kama aliyetaka msaada katangaza kwenye vyombo vya habari kuwa anataka msaada na akalalamika na kunung'unika sana sana kuwa watu (watanzania wenzake)hawataki kumsaidia...Bila shaka akisaidiwa sharti atumie njia ile ille aliyoombea msaada kutangaza kuwa kafanikiwa na kaupata kwa nani....na dio alichokifanya RAY C ... Yapo mengi tu JK kayafanya kwa nia njema kabisa kwa nia ya kusiaida na hayajatangazwa tatizo la watanzania(na nina amini na wewe ni mmoja wao) ni kuona uovu katika kila jema analofanya mwingine....ila si kuona uovu katika yale wanayoyafanya wao..........
 
NA WALE WENGINE WANAOJAZANA VITUO VYA MAGARI WATIBIWE NA NANI!
HUU UMAARUFU BEI RAHISI HUU!UNAZIDI KUKUCHAFUA KULIKO KUKUJENGA !
wasio na majina wanatibiwa nani?

...........unamaana gani????? uwa si kawaida yako kutoa povu..
 
Wanajamii, kuna anayejua uwepo wa rehabilitation/counceling centre Dar kwa watumiaji wa madawa ya kulevya. Mwenye kujua naomba details nimpeleke kijana aliyezidiwa na bangi. Thanks kwa taarifa
Kikwete anapajua kwani ndiye aliyempeleka Ray C kutibiwa, fanya juu chini uanane na Kikwete maana atakuelekeza na ikiwezekana atakughalimia
 
...........unamaana gani????? uwa si kawaida yako kutoa povu..

wala si uongo hii huwa si kawaida yangu lakini katika hili!HAPANA!
wangapi data wanateseka na kufa kutokana na haya madawa?mheshimiwa hapa kachemka sana!
wasio na mama wadogo wakuu wa wilaya wakimbilie wapi?
nani anatetea wasio na sauti!
kulikuwa na sababu gani ikulu kutumika katika hili?
nani mwingine ana hiyo access ya kutibiwa na rais?
lilikuwa baya lipi angemsaidia kama yeye!sio kama taasisi?
tunakimbilia kutoa masuluhisho mepesi kwa matatizo makubwa!
samahani kwa wenye jukwaa lao la maceleb lakini tunapaswa KUSTUKA!
HII THAMANI YA WASANII INAONEKANA WAKIFA NA WAKIUMWA TUU!?ah ngoja niishie hapa
 
Last edited by a moderator:
yani ni zaidi ya kujitafsiri ni mtu wa aina gani!huyu jamaa hana washauri?
hajui lipi la kulipa kipaumbele na hajui lipi la kuacha!
NA HILI LA RAY C NALO ILIMPASA KUJITANGAZA NAMNA HII?
SO SO SO CHEAP for a state house jamani!we need a break !

hebu tufungue mioyo yetu kidogo rais amefanya jambo jema.tujiulize sisi tumewaokoa wangapi wanaoangamia?
 
hebu tufungue mioyo yetu kidogo rais amefanya jambo jema.tujiulize sisi tumewaokoa wangapi wanaoangamia?
mamilioni ya vijana ni wahanga?hawa wanasaidiwa na nani?sijakataa kuwa kafanya jambo jema lakini ujem wa kitu upo katika dhamira!
hawa wengine wanaodondosha mate barabarani wanaokolewa na nani?
 
Mkuu usiseme hivyo ... inawezekana kabisa mateja kutibiwa na kurudi kwenye maisha ya kawaida.
Hivi kila kitu ni siasa? Kila kitu ni CCM againstg CDM? ....
Dude get a life!!
Mkubwa,
Hii ni 100% politics, tena ccm politics.
Haiwezekani state house, with all its metal hands, kutoka kupiga pichA YA KUTOA TIBA KWA MWANANCHI MMOJA, wakati maelfu ya wagonjwa wengine wanakufa jirani na ikulu pale kwa kukosa dawa-mseto!
After all Ray C sio less privileged, ana nduguze wenye uwezo wajuu ambao Ikulu hiyohiyo imewawezesha!...this is just like draining a pond down to the sea!
All ican say ni kwamba rais huenda yuko likizo, na hakuwa na jambo la msingi la kufanya ndani ya siku ya leo!.. halafu alichokosea ni kwamba katika tukio la masikitiko vile alikuwa anatabasmu too much, hii inaonyesha kuwa nia yake ilikuwa ni photogenity zaidi ya tukio!
Nafananisha hili na mtu anayelia kuliko wafiwa!
556341_521242087894563_1401453539_n.jpg
 
wala si uongo hii huwa si kawaida yangu lakini katika hili!HAPANA!
wangapi data wanateseka na kufa kutokana na haya madawa?mheshimiwa hapa kachemka sana!
wasio na mama wadogo wakuu wa wilaya wakimbilie wapi?
nani anatetea wasio na sauti!
kulikuwa na sababu gani ikulu kutumika katika hili?
nani mwingine ana hiyo access ya kutibiwa na rais?
lilikuwa baya lipi angemsaidia kama yeye!sio kama taasisi?
tunakimbilia kutoa masuluhisho mepesi kwa matatizo makubwa!
samahani kwa wenye jukwaa lao la maceleb lakini tunapaswa KUSTUKA!
HII THAMANI YA WASANII INAONEKANA WAKIFA NA WAKIUMWA TUU!?ah ngoja niishie hapa

.............. Vengu,,,,,,,,,
 
Mkubwa,
Hii ni 100% politics, tena ccm politics.
Haiwezekani state house, with all its metal hands, kutoka kupiga pichA YA KUTOA TIBA KWA MWANANCHI MMOJA, wakati maelfu ya wagonjwa wengine wanakufa jirani na ikulu pale kwa kukosa dawa-mseto!
After all Ray C sio less privileged, ana nduguze wenye uwezo wajuu ambao Ikulu hiyohiyo imewawezesha!...this is just like draining a pond down to the sea!
All ican say ni kwamba rais huenda yuko likizo, na hakuwa na jambo la msingi la kufanya ndani ya siku ya leo!.. halafu alichokosea ni kwamba katika tukio la masikitiko vile alikuwa anatabasmu too much, hii inaonyesha kuwa nia yake ilikuwa ni photogenity zaidi ya tukio!
556341_521242087894563_1401453539_n.jpg
sema wewe PakaJimmy
ujinga gani huu tunabebeshwaaf tuambiwe kuwa rais anajali?PTUUUU!
 
Last edited by a moderator:
Hongera mheshimiwa na hongera kwa kupona Ray C , japo imekuwa haraka mno I mean rehab ya ukwee ulitakiwa uwe mafichoni kama miezi, maybe among other things level of jani inaangaliwa
 
watu kwa kulalamika,si haba huyo mmoja kamsaidia.na analea mtoto mmoja ambae ni yatima.hata kama mtu una mabaya yako,lipo japo dogo zuri ambalo umelifanya.hongera yake kwa hilo
 
watu kwa kulalamika,si haba huyo mmoja kamsaidia.na analea mtoto mmoja ambae ni yatima.hata kama mtu una mabaya yako,lipo japo dogo zuri ambalo umelifanya.hongera yake kwa hilo
wasamehe tu.......... mchawi si lazima akeshe usiku... wengine ndo hawa wanao mbeza rais..
 
Mkuu usiseme hivyo ... inawezekana kabisa mateja kutibiwa na kurudi kwenye maisha ya kawaida.
Hivi kila kitu ni siasa? Kila kitu ni CCM againstg CDM? ....
Dude get a life!!
You must be barking at a wrong tree,sasa hapo siasa iko wapi?
 
sasa si asaidie pia kuwapata wauzaji coz kama alikuwa mtumiaji mzuri atakuwa anajua wauzaji pia!!kumbe hii vita dhidi ya madawa inawezekana sema hawataki tu ukidhibiti!nisaidiwe pia ni fundisho gani jamii inapata kutokana na hayo ya ray c
 
Back
Top Bottom