Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

anatengeneza pesa gani naye hana kazi ya kumuingizia kipato na analala kwa watu?

wewe mwenyewe bado umepewa hifadhi na x- wako! muache na yeye akae kwa watu, kama kukaa kwa watu ndio kunadetermine mtu ana pesa au la! basi na turudi kwenye1960s huko kwatufaa! usikomae utosi tu, ili kukidhi haja ya makwenzi! komaa na akili ufikiri wa akili!
 
nitakuwa nimegonga utosini unabwabwaja tu..............lol.kukomaa akili mwambieni huyo mange wenu ndiio akomae akili sio ujanja kuvaa CL za bei mbaya halafu unaenda kubanana na watoto wa dr mwele...lol,nyumba za kupanga zipo hadi za buku kumi...lol
 
Duh mimi nilikuwa natishiwa kuwa ni class fulani ..kumbe habari ndio hizi!!!
 
I don't even know the girl ...
is she beautiful ..?thick and curved ?she got a booty? light skin or chocolate color?and understanding?
That are my no-negotiable if she meet the criteria I may like her but I'm not looking .

Class ? what class is she!!? what is accomplished ?what she earn ?what her attitude?
I don't know this girl may be she of that class....
Talking about making money....I get decent pay check I with I could tell you but that would be childish
This is spear time ...I hope is the same to you too

Nimeipenda hii verse.
 
nitakuwa nimegonga utosini unabwabwaja tu..............lol.kukomaa akili mwambieni huyo mange wenu ndiio akomae akili sio ujanja kuvaa CL za bei mbaya halafu unaenda kubanana na watoto wa dr mwele...lol,nyumba za kupanga zipo hadi za buku kumi...lol

Shostito Mange,acha kuwabana watoto wa Dr Mwele Malechela si uende kwenu Mbezi beach au Tandika kwa mamayako?
 
Ray ndo anakurupuka,atampa promo zaidi huyo mdada na globe yake,,the best way ilikuwa ni kukaa kimya tu na kumpotezea,after time kila kitu kingekuwa kimya

Ungesingiziwa wewe ungekubali? kesi ya mauaji si mchezo wewe. mwache huyo malaya wa kike afundishwe adabu
 
MANGE ni nani? Mara kaishtaki Google mara yupo humu JFHivi hakuna mwanaume wa kz humu jamvini.akanidadavulia maana mmedokeza ana zungu hebu mtafutieni RUNGU awe SILENT WHISPER
kaka wengine hawa ni kunguru hafugiki!!
 
Ila nataka Ray awhakikishie watanzania kuwa hakuwa na uhasama na marehemu Kanumba kwaa kuwa ni blog nyingi sana ziandika kuwa mahusiano yao hayakuwa mazuri na hawakuwa wanaongea. Na walipotaka kupatanishwa ilitoka usemi kuwa "tutamalizana kiume". Hizi ni rumours ambazo tunazisoma kama ambavyo tumesoma kwa u-turn. Lakini pia kama kweli hawakuwa karibu inakuwaje aende kwake alipopata habari amefariki au kuanguka and at the same time kuwa busy kupiga picha mwili wa marehemu before na akiwa mortuary? It was immoral maana picha pia zilisambazwa mitandaoni, japo sina hakika kama zilisambazwa na nani? Nafikiri mtu ambaye anaweza kueleza ukweli wa hali halisi ya mahusiano ya marehemu na RAY ni mdogo wa marehemu na LULU, period. Kuongea media haisaidi, tusubiri ukweli.

Kuhusu huyuu kicheche Mange, niliona ile post hapa iki accuse RAY but ukweli she is in trouble. That was too sensitive to aired in any how?
 
safi sana Ray,funga iyo katuni...tena ata ukitaka tutakusaidia kupata lawyer wa nguvu kwa gharama zetu ili uyo mwanga akanyee ndoo segerea akitoka na ukurutu atakuwa amejifunza adabu na kuheshimu watu..cant wait 2see her behind bars..

Utajibeba mwaka huu muke ya muzungu.
 
unajua chanzo au unadandia gari kwa mbele, ukitaka uhakika fungua blog ya u-turn tafuta sehemu aliyoandika kuhusu raya kama utaiona. nasoma mara nyingi hiyo blog cjawahi kuona amemtoa ray

hivi we mage anakulamba nin mbna speed kwa dis watu mm jitambulishe we ni nani kwa mage na unapata nin kwa mage na unatembelea blog yake mara nagapi?
 
hahahaa kumekucha mange kiburi kitamponza. Ni vyema angerudi madrasa akajifunze zaidi mambo mazuri ya kumpendeza Mungu.
 
Blog yake haipo hewani na kule fb mafans wake wanalalamika
 
Binadamu tuna kazi, sasa huyo Mange akifungwa nyie mtapata faida gani? Mna ishusha hadhi JF kwa kupenda kujadili maisha ya watu, siku hizi JF inaitwa ya wambea na waliokosa kazi. Ebu tupunguze umbeya
 
Back
Top Bottom