Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

unajua chanzo au unadandia gari kwa mbele, ukitaka uhakika fungua blog ya u-turn tafuta sehemu aliyoandika kuhusu raya kama utaiona. nasoma mara nyingi hiyo blog cjawahi kuona amemtoa ray

Wewe hujui usemalo,alipost,tumeisoma,tuka copy,tu ka save,tuka email washkaji,baadae aka i delete nadhani baada ya watu kummueleza upuuzi aliofanya,NI Ray atakapotaka tu ushahidi aombe tumpe ishu kamili BURE BILA MALIPO.

USIONGEE USIVYOVIJUA WEWE.
 
I see mange rudi kwa maza tandika unaibika bure muke wa mzungu
 
I don't even know the girl ...
is she beautiful ..?thick and curved ?she got a booty? light skin or chocolate color?and understanding?
That are my no-negotiable if she meet the criteria I may like her but I'm not looking .

Class ? what class is she!!? what is accomplished ?what she earn ?what her attitude?
I don't know this girl may be she of that class....
Talking about making money....I get decent pay check I with I could tell you but that would be childish
This is spear time ...I hope is the same to you too
mbovu kinoma chakula ya baba mjane wa kizungu , hana class ni wale madude ya kuweka nywele fake za rangi rangi kila wiki, miguu kama fito manyonyo makubwa **** hamna, mkorogo wa kichina domo lake kubwa chapati anakula bila hata kukunja
 
Imejibiwa 20/04/2012....nimekuta mahala watu wamesha copypaste duh mitandao...

You know what?? If we were all the same ,wouldn't this have been a boring world?

Hivi kwanini watanzania siku zote huwa tunapenda kulalamika kuwa our voices are not being heard but when someone speaks up, most cant take it…..
Anyways, huu ni usawa wa ukweli na uwazi. Mimi nilivyo sijawahi kuwa mnafki sijawahi kumchekea mtu ambae simpendi,. Kama umeniboa ntakuonyesha au ntakwambia…..
The past 2 weeks have been crazy, yani ni emails kutwaaaaaa na msgs kutwaaa about why naandika posts and taking them down, especially ile ya Chadema. Again tunarudi pale pale kuwa watz hatujazoea kuambiwa ukweli. Maana that day I simplily voiced my opinion, sikumtukana mtu yoyote matusi ya nguoni au kumsemea uongo.

Sitoongea sana but kama nimewahi kuweka post yoyote humu nikaishusha just know, its an opinion I will stand by 10yrs to come. Nikizishusha ujue basi either muhusika kanipigia simu analalamika sana au a close friend of mine kanipigia kumuombea huyo mtu kuwa nitoe hiyo post. Either way nikitoa post just know ni mambo ya kujuana kujuana tu na sio kwamba I didn't know what I was saying in the first place….. aiseee, there are so many TZ bloggers out there so usidhani nimewapata nyie wote kushinda humu because im stupid. Im nowhere near being stupid.

So today a close friend of mine who I love very much, kindly asked to maybe tone it down somehow for the main reason that there are many people who don't like me out there especially this week, sababu ya some article inayosambaa huko kuhusu Ray. Well, I just thought to myself kama hao wajinga watanichukia mimi na sio huyo so called friend wa Kanumba aliekuwa na muda wa kumpiga picha rafiki yake wakati anakata roho (HAPA UMEONGEZA CHUMVI) na baada ya kukata roho mpaka anaingizwa mochwari na kwenda kuzitundika kwenye blog yake the next day,tena na caption kabisa hapa alikuwa anakataa roho, hii ndo maiti yake, if they cant hate such a person wakanichukia mimi basi nimewadharau sana.

Maana mtu hakuwa hata na common sense ya kusema ashushe hizo picha mpaka watu walipomjia juu ndo akazitoa. Aiseee, ni binadamu wangapi unawajua wewe walikuwepo wakati rafiki yao best anafariki instead of crying wakaanza kumpiga picha na kuzitundika mtandaoni? Kwenye hizo interview anazofanya left, right and centre toka jana mbona haongelei hilo? Sijawahi kusema Kamuua mtu yoyote, labda kama anajishtukia mwenyewe.

Hivi mbona nchi za wenzetu huko USA, wapi mbona kukiwa na kesi kubwa kama hizi mabloggers wanaandikaga stoies tena bila kuname sources. Ila bongo kwa vile hamjazoea kuambiwa ukweli mmezoea kusoma habari za juu kwenye mainstream papers basi ndo mnaleta zogo.
Wapenzi wangu, aisee mie im not here to win popularity contenst. Ntaendelea kublog the way I blog. Ntaendelea kuandika nnachoandika humu, ntaendelea kuvaa navyovyaaa. In short I have been consinstent all my life, this is who I have always been. Ukinipenda ntakupenda,ukinichukia ntakupenda zaidi,maana it just means you need more love in ur life.
Hivi unajua hakuna kitu kibaya maishani kama kumchukia mtu? Maana ukiishi huku ukiwa na chuki moyoni mwako u will never be happy. I have hated before sasa nikajikuta nateseka kuliko yuko nnaemchukia,maana nikiamka asubuhi namuwaza huyo kwanza ,siku nzima namuwaza huyo nayemchukia.Ila nikimpotezea yani nakuwa hata sijui kama yuko Duniani.Yani namsahau kabisa.

Nakushauri ujaribu kutomchukia mtu, you will be so happy. As u can see siku hizi nachokozwa kutwaaaaa huko facebook but huwa sina hata nguvu ya kumtukana mtu humu au kumjibu mostly I ignore.
Also nimejifunza kutojibishana / kuargue na watu wenye upeo mdogo. Embu chukulia mfano wa jana usiku, nimetumiwa status za mtu ananitukana facebook alafu wadau wangu wa ***** wanatuma comments mange muweke humu tumjibu sijui nini, i didnt approve even 1 comment that mentioned the drama maana sikuona itanisaidia nini.
I couldn't do that maana niliangalia situation yenyewe,huyo dada anaenitukanakaondoka kwao kahamia marekani kaaga anaenda kusoma like 6yrs ago, mpaka leo hii bado ni mwanafunzi, hajapata hata kale ka associate degree for god's sake.

Hivi namjibuje mtu ambae hadi leo hii CV yake kwenye highest education bado ani A level certificate from Mkwawa secondary? Hivi huyu mtu kweli tutaongea lugha moja? Siwakumhurumia tu??. Nikaangalia na hao wengine ni wafa maji tu,. So why should I bother myself??

I have come to accept that this cheap fame comes with haters na kwaweli sitoweza kudeal nao.

I started wondering So if u hate me so much kwanini unaingia humu BP inakupanda?? Usije ukafa kabla ya siku zako? Why cant u just read other blogs and skip this one ili usijiumize kichwa???
Anywas, guys, this is who I was 2yrs ago when I started blogging I believe im still the same person today. The only difference is, nimeongeza cheti chini ya uvungu wangu....hahhahahah

Unasema najishaua, najionyesha,naringa,drama queen,mgomvi,sijui nini, well labda ni kweli I am all those things, sasa unataka nifanyee???Nothing will change.
I will still post my pics nkila bata, I will still show off my new loubs, I will still call myself Muke ya Muzungu, if these little stupid things that are just meant to entertain you can make you hate me so much basi pole zako maana I aint about to change for anything or anyone.

I WILL STILL VOICE MY OPINIONS,, AS LONG AS IM NOT BREAKING THE LAW I REALLY DON'T CARE WHAT U THINK. HIVI MTU AKISEMA UKWELI KWANINI WATU HAWATAKI KUSIKIA WANAPENDA KUAMBIWA UONGO TUUUU????
TO THE VERY VERY MANY OF YOU WHO SUPPORT ME CONSTANTLY. THANK YOU FOR UNDERSTANDING ME AND STANDING BY ME. AGAIN SIWEZI KUPENDWA NA WATU WOTE……
WATZ TUACHE UOGA WA KIJINGA KIJINGA…..IT TIME TO SPEAK OUT!!!!! WATCH THIS SPACE!!!!!!!!!!!! TEAM WACHOVU on Twitter, I love you………
***** FOREVER BABY…….
 
yeye sia anandai ana taarifa za kuaminika? sasa ndio wakati wakuthibitisha hizo tuhuma zake katika vyombo vya sheria.sio kuandika habari za udaku alaf anaaminisha watu kua ni za uhakika.

Nadhani na polisi nao watafurahi kumjua mwenzao anayevujisha taarifa za kiinteljensia primature.............., nahisi kama Mange sasa amechezea sharubu za simba mwenye njaa, ngoja tusubiri siiineeema halisi, ciao.
 
kumbe dada wa watu kaolewa halafu nyie mnamsingizia anakaa kwa dr.... atakuwa amepanga hapo na mzungu wake au watoto wa dr wanapata faraja wakimuona huyo mdhungu!.!.
 
Imejibiwa 20/04/2012....nimekuta mahala watu wamesha copypaste duh mitandao...

So today a close friend of mine who I love very much, kindly asked to maybe tone it down somehow for the main reason that there are many people who don't like me out there especially this week, sababu ya some article inayosambaa huko kuhusu Ray. Well, I just thought to myself kama hao wajinga watanichukia mimi na sio huyo so called friend wa Kanumba aliekuwa na muda wa kumpiga picha rafiki yake wakati anakata roho na baada ya kukata roho mpaka anaingizwa mochwari na kwenda kuzitundika kwenye blog yake the next day,tena na caption kabisa hapa alikuwa anakataa roho, hii ndo maiti yake, if they cant hate such a person wakanichukia mimi basi nimewadharau sana.

she's kind of got a point there ......
 
Imejibiwa 20/04/2012....nimekuta mahala watu wamesha copypaste duh mitandao...

You know what?? If we were all the same ,wouldn't this have been a boring world?

Hivi kwanini watanzania siku zote huwa tunapenda kulalamika kuwa our voices are not being heard but when someone speaks up, most cant take it…..
Anyways, huu ni usawa wa ukweli na uwazi. Mimi nilivyo sijawahi kuwa mnafki sijawahi kumchekea mtu ambae simpendi,. Kama umeniboa ntakuonyesha au ntakwambia…..
The past 2 weeks have been crazy, yani ni emails kutwaaaaaa na msgs kutwaaa about why naandika posts and taking them down, especially ile ya Chadema. Again tunarudi pale pale kuwa watz hatujazoea kuambiwa ukweli. Maana that day I simplily voiced my opinion, sikumtukana mtu yoyote matusi ya nguoni au kumsemea uongo.

Sitoongea sana but kama nimewahi kuweka post yoyote humu nikaishusha just know, its an opinion I will stand by 10yrs to come. Nikizishusha ujue basi either muhusika kanipigia simu analalamika sana au a close friend of mine kanipigia kumuombea huyo mtu kuwa nitoe hiyo post. Either way nikitoa post just know ni mambo ya kujuana kujuana tu na sio kwamba I didn't know what I was saying in the first place….. aiseee, there are so many TZ bloggers out there so usidhani nimewapata nyie wote kushinda humu because im stupid. Im nowhere near being stupid.

So today a close friend of mine who I love very much, kindly asked to maybe tone it down somehow for the main reason that there are many people who don't like me out there especially this week, sababu ya some article inayosambaa huko kuhusu Ray. Well, I just thought to myself kama hao wajinga watanichukia mimi na sio huyo so called friend wa Kanumba aliekuwa na muda wa kumpiga picha rafiki yake wakati anakata roho na baada ya kukata roho mpaka anaingizwa mochwari na kwenda kuzitundika kwenye blog yake the next day,tena na caption kabisa hapa alikuwa anakataa roho, hii ndo maiti yake, if they cant hate such a person wakanichukia mimi basi nimewadharau sana.

Maana mtu hakuwa hata na common sense ya kusema ashushe hizo picha mpaka watu walipomjia juu ndo akazitoa. Aiseee, ni binadamu wangapi unawajua wewe walikuwepo wakati rafiki yao best anafariki instead of crying wakaanza kumpiga picha na kuzitundika mtandaoni? Kwenye hizo interview anazofanya left, right and centre toka jana mbona haongelei hilo? Sijawahi kusema Kamuua mtu yoyote, labda kama anajishtukia mwenyewe.

Hivi mbona nchi za wenzetu huko USA, wapi mbona kukiwa na kesi kubwa kama hizi mabloggers wanaandikaga stoies tena bila kuname sources. Ila bongo kwa vile hamjazoea kuambiwa ukweli mmezoea kusoma habari za juu kwenye mainstream papers basi ndo mnaleta zogo.
Wapenzi wangu, aisee mie im not here to win popularity contenst. Ntaendelea kublog the way I blog. Ntaendelea kuandika nnachoandika humu, ntaendelea kuvaa navyovyaaa. In short I have been consinstent all my life, this is who I have always been. Ukinipenda ntakupenda,ukinichukia ntakupenda zaidi,maana it just means you need more love in ur life.
Hivi unajua hakuna kitu kibaya maishani kama kumchukia mtu? Maana ukiishi huku ukiwa na chuki moyoni mwako u will never be happy. I have hated before sasa nikajikuta nateseka kuliko yuko nnaemchukia,maana nikiamka asubuhi namuwaza huyo kwanza ,siku nzima namuwaza huyo nayemchukia.Ila nikimpotezea yani nakuwa hata sijui kama yuko Duniani.Yani namsahau kabisa.

Nakushauri ujaribu kutomchukia mtu, you will be so happy. As u can see siku hizi nachokozwa kutwaaaaa huko facebook but huwa sina hata nguvu ya kumtukana mtu humu au kumjibu mostly I ignore.
Also nimejifunza kutojibishana / kuargue na watu wenye upeo mdogo. Embu chukulia mfano wa jana usiku, nimetumiwa status za mtu ananitukana facebook alafu wadau wangu wa ***** wanatuma comments mange muweke humu tumjibu sijui nini, i didnt approve even 1 comment that mentioned the drama maana sikuona itanisaidia nini.
I couldn't do that maana niliangalia situation yenyewe,huyo dada anaenitukanakaondoka kwao kahamia marekani kaaga anaenda kusoma like 6yrs ago, mpaka leo hii bado ni mwanafunzi, hajapata hata kale ka associate degree for god's sake.

Hivi namjibuje mtu ambae hadi leo hii CV yake kwenye highest education bado ani A level certificate from Mkwawa secondary? Hivi huyu mtu kweli tutaongea lugha moja? Siwakumhurumia tu??. Nikaangalia na hao wengine ni wafa maji tu,. So why should I bother myself??

I have come to accept that this cheap fame comes with haters na kwaweli sitoweza kudeal nao.

I started wondering So if u hate me so much kwanini unaingia humu BP inakupanda?? Usije ukafa kabla ya siku zako? Why cant u just read other blogs and skip this one ili usijiumize kichwa???
Anywas, guys, this is who I was 2yrs ago when I started blogging I believe im still the same person today. The only difference is, nimeongeza cheti chini ya uvungu wangu....hahhahahah

Unasema najishaua, najionyesha,naringa,drama queen,mgomvi,sijui nini, well labda ni kweli I am all those things, sasa unataka nifanyee???Nothing will change.
I will still post my pics nkila bata, I will still show off my new loubs, I will still call myself Muke ya Muzungu, if these little stupid things that are just meant to entertain you can make you hate me so much basi pole zako maana I aint about to change for anything or anyone.

I WILL STILL VOICE MY OPINIONS,, AS LONG AS IM NOT BREAKING THE LAW I REALLY DON'T CARE WHAT U THINK. HIVI MTU AKISEMA UKWELI KWANINI WATU HAWATAKI KUSIKIA WANAPENDA KUAMBIWA UONGO TUUUU????
TO THE VERY VERY MANY OF YOU WHO SUPPORT ME CONSTANTLY. THANK YOU FOR UNDERSTANDING ME AND STANDING BY ME. AGAIN SIWEZI KUPENDWA NA WATU WOTE……
WATZ TUACHE UOGA WA KIJINGA KIJINGA…..IT TIME TO SPEAK OUT!!!!! WATCH THIS SPACE!!!!!!!!!!!! TEAM WACHOVU on Twitter, I love you………
***** FOREVER BABY…….

kumbe dada wa watu anamawazo mazuri tu... na kwenye picha hapo mbona sioni u ugly wowote. she is cute, has a family and sound educated/exposed...hongera dada! nimejaribu kuchungulia bulogu yako inayo jadiliwa sana humu jamvini lakini sijaweza kui access.
 
Binadamu tuna kazi, sasa huyo Mange akifungwa nyie mtapata faida gani? Mna ishusha hadhi JF kwa kupenda kujadili maisha ya watu, siku hizi JF inaitwa ya wambea na waliokosa kazi. Ebu tupunguze umbeya

Usiongee kwa interest zako fikiria kwa kina kwanini jela iliwekwa? Ndo ujue watu watapata faida gani. Kukusaidia jibu ni moja tu wenye tabia kama yake watajirekebisha na yeye akitoka kama hatakua amenyooka basi atakuwa ameadabika. Namuombea Mungu aache hizi tabia za kushutumiwa mabaya mengi kuliko mema.
 
una undugu na udakuspecial.com?

nitakuwa nimegonga utosini unabwabwaja tu..............lol.kukomaa akili mwambieni huyo mange wenu ndiio akomae akili sio ujanja kuvaa CL za bei mbaya halafu unaenda kubanana na watoto wa dr mwele...lol,nyumba za kupanga zipo hadi za buku kumi...lol
 
Imejibiwa 20/04/2012.......
Well, I just thought to myself kama hao wajinga watanichukia mimi na sio huyo so called friend wa Kanumba aliekuwa na muda wa kumpiga picha rafiki yake wakati anakata roho na baada ya kukata roho mpaka anaingizwa mochwari na kwenda kuzitundika kwenye blog yake the next day,tena na caption kabisa hapa alikuwa anakataa roho, hii ndo maiti yake, if they cant hate such a person wakanichukia mimi basi nimewadharau sana.
…….

Bonge la point how comes badala ya kumpa huduma ya kwanza au kumuwahusha hospitali ya karibu, wewe unayejiita 'best friend' unarecord? Best friend unapata wapi nguvu za kurekodi best wako anapokata roho? Aache unafiki
 
Ray ameshikwa pabaya. Yule dada anaweza kushinda at last.
You are right. Watu wana -react kwa jazba tu bila ya kufikiri pia nje ya sanduku. Kumtusi na kumdhalilisha dada huyu hakuwezi kufuta tuhuma ambazo watu wanasemea kichini chini kumhusu huyu kijana, tuhuma ambazo huyu dada ameziweka hadharani katika blog yake. Ingekuwa polisi ya nchi nyingine, wasingemkamata Lulu pekee kwa uchunguzi kifo cha Kanimba bali hata watu wa kwanza kufika kwenye scene na wale aliokutwa nao Lulu muda mfupi baada ya mauaji ya Kanumba. Hatuna Polisi wanaofanya kazi kwa weledi, imebaki maneno tu bila ya chochote on the ground nchi hii woote wamegeuka wanasiasa kuanzia polisi hadi Jeshi.
Nasema tena, hata anazochukua Ray dhidi ya dada huyu zinaweza kufanya mambo mawili; kwanza ni kumwongezea umaarufu usiyo wa lazima na kuinua eyebrows za watu juu ya uhusiano wa kifo cha Kanumba na huyu Ray. Ikiwa kesi hii itakwenda mahakamani mawakili wa dada huyu watachimba mengi ambayo mwisho wa siku Ray ataachwa uchi kabisa, na pengine wengi watatiwa dosari ambao kwa sasa hatuwasikii.
 
Jamani mie kuhusu mtu kurekodi mtu aliyefariki kwa kweli nimeliona hili this week.

Kuna familia baba yao alikuwa anaumwa na amelazwa, watoto walikuwa strong (inategemea na mtu jamani) walimpiga baba yao picha haswa kuanzia siku mbili kabla hajafariki nadhani hapo ma dk waliwaambia Cancer yake ndio inamchukua baba wa watu.

Walimpiga picha na unaona zingine wanarekodi video, walimpiga picha mpaka last minutes, na hadi alipofariki walimpiga mpaka alipotolewa chumbani na kuwekwa sehemu wamuangalie kabla hajawekwa kwenye chumba baridi.

Wamefanya slide show JAMANI it is so moving yaani hukosi kupata ile connections ya maisha yake mwishoni, chozi lazima likutoke, niliona ni kumbukumbu nzuri sana kwa familia jamani. Wameweka kwenye TV sebuleni, picha za maishani chache tofauti na close friends, familia, za safari, alipoanza kudhoofika, kulazwa in and out na hadi mauti yalipomkuta. haina picha nyingi ila acha tu. msibani unaona picha akiwa ameshakufa amelala kafunikwa shuka hadi shingoni. May he RIP.

Kwa mie nimependa sana walichofanya nilijiuliza walipata wapi nguvu, ila jamani imelipa maana wanakumbukumbu milele ya hata generation zijazo.

So kwa watu kusema juu ya picha haina maana, alikuwa anaona ni vyema kwake na ni kitu cha kawaida kwa wengi kwa kumbukumbu.

Mimi nilishaishi mbali na nyumbani nakumbuka kupoteza nudgu na jamaa, ila hadi leo siwezi kuona chochcote cha kunikumbusha wao zaidi ya picha na video vya zamani. nadhani mnanielewa nachotaka sema naona kungekuwa na picha fulani ningepata ile strong connection yamaisha yao wa/yalikuwaje mwishoni etc.

ni maoni yangu tu mie, Mungu awe nasi.

Kwa Ray lazima aliona amefanya kitu cha kuweka fans wa Kanumba karibu na marehemu, ila kama ilivyo duniani wengi sie huwa tuna fanya vitu na kubadili kama wadau wa mablog walivyo busy kutoa posts walizoweka hata huyu mwanamke kama alivyosema nae huwa anaondoa, Kw ahiyo tofauti iko wapi kwa Ray nae kuondoa.

Sio vizuri kutafuta maneno, tutakubaliana kuwa sie binadamu huwa tuna fikira tofauti na hata angefanya kingine chochote lazima kingesemwa ndio maisha hayo.
 
Back
Top Bottom