Herbivore
Member
- Dec 8, 2021
- 18
- 28
Wakuu habari, inahitajika gari aina ya Rav 4 Old Model, iwe Long chassis ama short chassis, kuanzia Namba B
BAJETI: Tsh 7,000,000 (Milioni 7).
Iwe katika good condition! Location ni Dsm. Kwa yeyote mwenye kuwa nayo tafadhali njoo PM
Uwe tayari ikaguliwe na fundi.
Shukrani!
BAJETI: Tsh 7,000,000 (Milioni 7).
Iwe katika good condition! Location ni Dsm. Kwa yeyote mwenye kuwa nayo tafadhali njoo PM
Uwe tayari ikaguliwe na fundi.
Shukrani!