Wadau wasema Rais ameivuruga nchi kwa kuzarau tume na maoni ya wananchi,ndiye aliyelivuruga bunge maalumu la katiba,ndiye aliyesababisha sintofahamu hivyo ni mh kikwete mwenyewe aombe radhi kwa hilo ili kuleta suluhu pia awaase wabunge kuboresha maoni ya wananchi na si kuyabadili au kuyaondoa.