Mswahili Old Acc
JF-Expert Member
- Sep 27, 2006
- 488
- 22
Njenje walipelekwa specifically kwa ajili ya harusi.......
Again argument sio wakurugenzi wa Internal na External Intel(nina uhakika hawa hawako stationed nje ya nchi)... bali RO kama Station Chief London alifanya nini wakati haya yote yanatokea?
Walifanya maonesho mengi tu usilete uongo.
Balali kaondoka ndani RO,Lowassa kapewa haki yake ndani RO.na anafanya kazi kwa karibu sana na SFO unataka nini zaidi?
ni sawa na kumpa ujiko mwakyembe wakati kazi za kamati yake zimetokana na JK na RO kuwa radhi.SFO wakija Tz bila kupata maelekezo toka Usalama wa Taifa hawawezi kufanya kitu, kama waingereza wajanja mbona hawaendi kutoa matokeo ya uchaguzi Zimbabwe?