Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

Status
Not open for further replies.
GT, Between what you are saying na what actually is ni Taifa ambalo ni masikini sana. So, ukijaribu kumodify your expectation na kuangalia hali halisi unaweza ukanarrow to.

a. What is more urgent
b. What is feasible
c. What can be done immediately within our resources
d. What should be the future plan (middel and long terms)
 
Mwanakijiji nakubaliana nawe majukumu iliyoyataja ya usalama wa raia, lakini sidhani ya kuwa hata hao wanaofanya kazi katika taasisi hiyo wanajua majukumu ya taasisi hiyo.Ukichunguza taasisi hii kama ilivyo ni kulinda wakubwa yaani rais na na viongozi wengine na mali zao kuandamana na viongozi katika safari zao za nje na ndani ya nchi.

Nina imani ya kuwa watanzania wengi wanaamini hivyo kua kazi ya taasisi hiyo ni hiyo. Kwani kama ingelikuwa inafanya kazi kwa mujibu wa sheria za uwanzishaji wa taassisi hiyo matatizo mengi ya mikataba mibovu na mambo mengine yanayohatarisha usalama wa taifa yasingekuepo.

Sitashangaa ya kuwa moja ya majukumu yao wakiwa safarini na viongozi wetu ni kutumwa kuwawekea viongozi wetu mafisadi-WEZI-maana ufisadi sasa nikama sifa fedha katika akaunti zao na kuwanunulia mashangingi.

Kwa upande mwingine viongozi wa juu katika taassisi hii wanateuliwa na Rais itakua kichekesho kwa ofisa wa taasisi hiyo kutoa taarifa kwa Rais ya kua Mh.Rais wewe na marafiki zako Mafisadi-WEZI-Mnahatarisha usalama wa taifa.

Hivyo Mwanakijiji kitendo cha mkuu wa taasisi hiyo kujiuzulu ni sawa na kutoa kondoo wa kafara au kujaribu kujiliwadha si zaidi. Hapa chakufanya kwanza taasisi hinapashwa kua uhuru na iwe chini ya bunge na viongozi wake kuchujwa katika bunge na kulindwa na bunge. Kitu ambacho vile vile nakiofia kama kinaweza kutoa matunda yoyote. Kwani tatizo letu ni mfumo wa uongozi katika nchi yetu ,na katika mfumo huu wakati viongozi wengi kuanzia ngazi za juu rais ni mafisadi huu ni mduara au circle ambayo kuivunja ni vigumu.

Hapa matumaini pekee ni kelele za walalahoi,shinikizo la wafadhiri ndiyo njia pekee itakaowalazimisha viongozi wetu kufanya uchunguzi kwa kashfa nyingi zilizo tokea na kuendelea kutokea Mwanakijiji katika hali ilivyo hata ukiwekwa wewe katika nafasi hiyo utofanya chochote Lowassa, Karamangi, Rostam, chenge na wezi wengine wengi wamechukuliwa hatua zipi? Inauma ninapowaona watua hawa wamekaa katika viti vya bunge ni aibu!

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Advocate Jasha
 
Hadi gazeti la Guardian litutangazie kuwa Waziri wetu ameficha Bilioni kisiwani Jersey (thanks Yebox2) wao kina RO walikuwa wapi?

Hadi Kamati Teule ilipotuambia rasmi kuwa RDC ni kampuni hewa RO na timu yake walikuwa wapi?

Niendelee kuorodhesha ushahidi wa uzembe uliokithiri na uvivu wa kufikiri wa taasisi nyeti ya Usalama wa Taifa? Kama wameshindwa kugundua matukio ya economic sabotage yanayoendelea nchini wana faida gani? Hii ya kusafiri na Rais na kutumia vi ear pieces na makoti marefu kama vile wao Secret Service?

Rashid Othman ajiuzulu kwa ajili ya Usalama wa Taifa!!!

yes I said it!
mkuu kwani hayo wanayaona?au je ni kazi yao?lakini kukufatilia wewe amabaye hata wakikuacha ufanye fujo zako efect yake haizidi milioni moja wala haiui mtu kwao ndio kazi yaani wanaweza hata watumie bilioni moja kwajili yako.wee wachokoze uone lakini mambo yale ambayo hasa yanawahusu wamelala usingizi
 
Hadi gazeti la Guardian litutangazie kuwa Waziri wetu ameficha Bilioni kisiwani Jersey (thanks Yebox2) wao kina RO walikuwa wapi?

Hadi Kamati Teule ilipotuambia rasmi kuwa RDC ni kampuni hewa RO na timu yake walikuwa wapi?

Niendelee kuorodhesha ushahidi wa uzembe uliokithiri na uvivu wa kufikiri wa taasisi nyeti ya Usalama wa Taifa? Kama wameshindwa kugundua matukio ya economic sabotage yanayoendelea nchini wana faida gani? Hii ya kusafiri na Rais na kutumia vi ear pieces na makoti marefu kama vile wao Secret Service?

Rashid Othman ajiuzulu kwa ajili ya Usalama wa Taifa!!!

yes I said it!


Wa kujiuzulu kwenye serikali hii si Rashid Othman pekee, bali ni serikali yote kuanzia JK kwani imeshindwa kazi kabisa na Watanzania wengi hatuna imani nayo tena.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom