Bi. Senti 50
JF-Expert Member
- Apr 17, 2007
- 290
- 12
Naomba nitoe mchango wangu kiduchu.
kwanza, Si kweli kuwa Usalama wa Taifa wamekuwa wakifuatilia mambo ya kashfa. Wana uwezo huo kisheria lakini kimaslahi hawawezi kufanya hivyo kwani hawataki kumuabisha Rais au kushiriki kwa namna moja ile kumuabisha Rais.
pili, kama ilivyosemwa na wengine watu wa usalama wa Taifa kuanzia Mkurugenzi wao ni watu wenye maslahi yanayogongana na kwa muda mrefu wamekuwa wakitumiwa siyo kukusanya taarifa za kijasusi bali taarifa za kisiasa dhidi ya wanasiasa na viongozi.
tatu, usalama wa Taifa wanatumika kuvet viongozi wa juu ingawa siyo jukumu lao hilo kisheria. Wakati EL alipojiuzulu UwT walikuwa pembeni kwanza lakini alipoanza kuzungumza na kuita watu mbalimbali hadi pale Movenpick alipoangusha machozi. Watu wa UwT walikuwapo pale na walinasa yote aliyosema kuhusu JK mbele ya kina Apson.
Ndicho hicho kilichotumiwa kumnyamazisha EL.
Kiufupi ni kuwa hawa UwT wanawajibika kulinda majina, hadhi na vyeo vya viongozi kuliko kulinda usalama wa taifa na maslahi yake. Ndio maana walianzisha uchunguzi wa JF kwa sababu inadaiwa unachafua "viongozi".
Hivyo hata mimi naunga mkono ajiuzulu tu.
asante.