Rapidshare users

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
570
115
haarini jf members. Wakubwa nimeona wa2 weng wakiandika thread zinazohusu kudownload ku2mia rapidshare. Mi ni mgen wa haya mambo nataka kujua hyo rapidshare ni nini?,inatumiwa vp? Inafanyakazi vipi? Na inapatikana wapi pamoja na faida zake?
 
Si ungeuliza kwenye hio thread? Kuna ulazima wa kutengeneza mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom