RANGE ROVER FOR SALE; MIL 27(photo attached)

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Piga simu, 0784 419030;

Cc 3940

Aircon

Cd changer,

Full tinted

Petrol

Km 138,000
 
Attachments

  • show_picture_big1[1].JPG
    show_picture_big1[1].JPG
    36.4 KB · Views: 196
  • show_picture_big3[1].JPG
    show_picture_big3[1].JPG
    49.1 KB · Views: 131
  • show_picture_big4.jpg
    show_picture_big4.jpg
    49.3 KB · Views: 115
  • show_picture_big5.jpg
    show_picture_big5.jpg
    44.9 KB · Views: 144
  • show_picture_big6.jpg
    show_picture_big6.jpg
    40 KB · Views: 129
  • show_picture_big7.jpg
    show_picture_big7.jpg
    41.8 KB · Views: 121
Mmh nisije kufa kwa ukimwi bureee ,gari kama hili ni kujitakia matatizo bure kutoka kwa akina dada wa mjini
 
Jamani asante kwa michango yenu. Itapendeza kama tutatoa michango inayomsaidia mnunuaji na muuzaji, maana hapa ni biashara.
 
Hakuna Gari ya Mil20 hapo.
Ukipewa 15 katambike mizimu, gari yenyewe sjui ya 1997/98!!
 
Nimependa ufafanuzi wa majoja, kweli hili jukwaa l;iwe na maana ya kufafanua ukweli na sio kupotosha, kama mtu anajua ambako vitu bei rahisi atoe maelezo kuliko kupinga vitu bila ushahidi
 
bora umesema hilo, kwa wale ambao hawakuwahi kufikiria kutelekeza gari bandarini wajaribu sasa waone JK/Mkulo/Kitilya walivychachamaa na mkakati wao wa kutop-up kiasi cha posho za vikao na safari
Bei inaweza kuwa ndogo lakini ushuru wa sasa komesha!! Kwa hiyo usidanganyike na hiyo CIF value......
 
Ushuru wa safari hii hakuna mtu kununua gari nje, eti hata kama ni used odometer inasoma 300000 ya 1995, ushuru wana anza kupigia bei ya lilipokuwa jipya! Hii ndo awamu ya nne-maisha bora kwa kila mtanzania!
 
Tunarudishwa nyuma miaka ile ambayo mtu kuwa na gari alionekana kama ametoka sayari ingine. Haiingi akilini ununue gari chini ya Shs 4M halafu ulipe kodi shs 11m. Ni wizi wa waziwazi wa serikali na sasa soko la used la magari ya ndani ndilo litapanuka. Baada ya miaka michache ijayo nchi itabaki na magari ovyo ovyo machakavu tu kwani wachache wataweza kuagiza magari toka nje.
 
Asante sana!!!
Mi nangoja tu mwaka kesho mwezi wa tatu!!!
Nitazichanga!!!
 
Asante sana!!!
Mi nangoja tu mwaka kesho mwezi wa tatu!!!
Nitazichanga!!!

umeona eeh...kuna watu wanajifanya wajuaji sana wacha waaagize wakumbane na kina Kitillya...sasa hivi mtu mwenye gari yake used asiuze ovyo ovyo siku izi unauza kwa kujidai kabisa kamanda....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom