Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

Aiseee! Sasa naona jinsi gani ilivyo ngumu kutenganisha CCM na UFISADI... maana hawa jamaa akina Madabida ndio wenyewe kwenye CCM
Ni ngumu sana ndio maana Pinda alisema hawa mafisadi wakikamatwa nchi itayumba...wewe waziri mkuu wa nchi anaongea hivyo mbele ya wananchi kuna kitu hapo?
 
  • Thanks
Reactions: awp
Locally manufactured HIV/AIDS drugs launched, Arusha-based Tanzania Pharmaceutical Industry (TPI) has scored first in East Africa by manufacturing some of the first line drugs used in HIV/AIDS treatment.

The drugs, Stavudine, Lamivudine and Nevirapine or a cocktail of the three (TT-VIR), were launched last weekend by Dr. Krisana Kraisintu, a consultant at the plant and TPI Managing Director, Ramadhani Madabida.

Manufacturing of the drugs in Arusha is a relief to the about 1.6 million Tanzanians living with HIV/AIDS. The drugs when distributed for wider use, after approval by the government, will cost between Tsh.15,000 to Tsh.20,000 for a month's dose.

An estimated 50 to 60 per cent of hospital beds in Tanzania are occupied by patients with AIDS- related illness. With training in pharmaceutical chemistry, Dr. Kraisintu was formerly the director of Research and Development Institute of Thailand's Government Pharmaceutical Organization.

Unable to garner the support of his governmental colleagues, he directed his own organization's research funds to develop and produce generic versions of AIDS medications.

Dr. Kraisintu's homegrown pharmaceuticals proved themselves both medically viable and cost effective were later supplied to patients in Laos, Cambodia and Vietnam. Over 100,000 patients are now able to receive treatment in South East Asia.

With partnership with the German Medical Aid Organization, Dr. Kraisintu has now successfully reproduced his formula on to fight HIV-AIDS on a larger scale, especially in sub-Saharan Africa.

The President of Mount Holyoke College, South Hadley, Massachusetts, Dr. Joanne V. Creighton has hailed him as the "AIDS Warrior" praising his efforts to provide AIDS treatment to those who would otherwise be denied.

"You have revitalized public health efforts around the world to fight the spread of HIV/AIDS", she noted in a statement of appreciation dated 22nd May, 2005.

My Take:
Je Hivi ni aina ya vitega uchumi tunavyohitaji kuwapa makada wa chama ....ili wakichangie chama mapesa kwenye uchaguzi .....kwa kuwauzia watanzania dawa feki za Ukimwi? Ni wangapi wameshakufa?

.....wakurugenzi wa MSD wamechukuliwa hatua...though hao ni scape goats tu. Je, Madabida ..amechukuliwa hatua gani?..au kwa kuwa pesa zilikuwa zinanufaisha CCM.....?


Sasa subiri uone sinema itakavyoendelea hii dili itazungushwa na mwisho wa siku yeye Madabida atiishia kulipwa mabilioni kwani kosa litarudi upande wa serikali ambayo historia inaonyesha uwezo wa serikali kushinda kesi mahakamani ni 0.0005%
 
Ramadhani Madabida alishawahi kuwa Meneja wa RTC na mke wake Zarina Shamte Madabida alikuwa Meneja wa kampuni ya tAIFA YA MADAWA (NAPCO) makampuni hayo yote yamekufa katika hali ya kusikitisha kifisadi, wanafamilia hawa wamechelewa sana kujiingiza katika siasa, lakini baada ya kuwaona wenzao waliokuwa nao katika system enzi za Board of Internal Trade (BIT) Akina Mwapachu, Salome Mbatia , Henry Shekiffu, Athuman Janguo na wengine wameingia katika siasa na kupata mafanikio na wao wakaamua kuingia kwa kutumia nguvu nyingi ili kujinufaisha kupitia CCM, Zarina ni mwenyekiti UWT DSM na Mbunge viti maalum CCM, Ramadahani Madabida ligombea ubunge (CCM) Jimbo la Kilwa akangushwa na jamaa wa CUF, ........ lakini kwa wale waliowahi kufanya nao kazi ni watu wanaoijua pesa, ni wajanja wajanja, kile kiwanda cha Arusha, wanamiliki wao Mke ndio mtaalam wa Madawa mume ni mtu wa masoko na utawala na kuna kila la uwezekano wameamua kutafuta pesa za ziada kwa njia yoyote kama hii ya kudhuru maisha ya binadamu wenzao,..... ninaamini serikali hii haitawafumbia macho na itawachukulia hatua stahili
Hapo kwenye RED nataka kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba Zarina Madabida ameangushwa/ amepigwa chini na Janet Masaburi mke wa Didas Masaburi. kwahiyo Mwenyekiti mpya wa UWT Dar es salaam ni Janeth Masaburi.

Ingwa siwapendi kabisa Magamba lakini namtakia ushindi John Guninita amuangushe huyu shetani Ramadhani Madabida ili hii familia ya kishetani iwe out of politics, maana wanatumia siasa kuibia Watanzania.
 
Unaweza hapa kueleza kwa ufupi tu kama Madabida ameuza ARV fake? If that is so,nadhani mkakati wake wa kuwania kuwa Mwenyekiti wa CCM Dar es salaam utaishia hapo.
Madabida ni schoolmate wangu,tumesoma wote primary school.
pole kwa kuwa na skulmate MUUAJI! hafai kwenye jamii, ni zaidi ya mnyama wa porini! ARV'S ZINATESA SANA, HALAFU ZIWE FAKE??? WHAT A TORTURE! NAWAPA POLE WAATHIRIKA WOTE WALIOZITUMIA, OUR LIVING GOD WILL SEE YOU THRU!
 
Hawa jamaa wa MSD wanatumiwa kama scape goats tu..as usual..funika kombe mwana haramu apite. Hichi kiwanda kinatakiwa kifungwe kabisa..sio kisimashe kutengeneza hizo dawa feki.

Pili,isn't a BIG conflict of interest kwasababu inasemekana Mama Madabida ni board member wa MSD. Hiyo haijakaa vizuri kabisa.
 
Niliambiwa kuwa na kiwanda cha Madabida kimefungiwa? If that is correct kuna nafasi ya wanaharakati kufungua kesi dhidi ya wenye kiwanda?
 
inatia mashaka kila kitu feki, kila kitu mafisadi, khaaa
 
hawa TPI wamere bag dawa ya bei rahisi toka india!hilo ndio kosa.TFDA inahusika directly kuruhusu uchafu huo
 
Kwa ccm hiyo ndiyo ticket ya kuonyesha kuwa umekomaa - hivyo uenyekiti ccm mkoa ni dhahiri
 
Ramadhani Madabida mwenyewe ndiye huyo hapo (kulia)
91AIDS%20Drugs1.JPG


Zarina Madabida naye huyu hapa,

Source: HII HAPA



DSC_0692.JPG
 
dah! Hawa magamba mbona watatumaliza? Hv ni madaraka 2 ndo yanawafanya wawalinde hawa wahain au kuna jambo nyuma ya pazia?

Halafu mtu anishawishi nimchague ZZK awe presdaa 2015??? Anao ubavu wa kupambana na huu mtandao mpana wa ulaji rushwa, roho mbaya, uuaji na udhalilishaji wa watanzania unofanywa na CCM. Kwa ujumla CCM imeoza kila upande na kila anayejihusisha na hiki chama kuna kitu ameficha nyuma ya pazia kama hawa akina Madabida

Jamani watanzania tuamke, huu ufisadi uliokamata kila sekta ya nchi mapambano yake sio mzaa, yanahitaji kuitokomeza CCM kwanza...
 
Hapo kwenye RED nataka kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba Zarina Madabida ameangushwa/ amepigwa chini na Janet Masaburi mke wa Didas Masaburi. kwahiyo Mwenyekiti mpya wa UWT Dar es salaam ni Janeth Masaburi.

Ingwa siwapendi kabisa Magamba lakini namtakia ushindi John Guninita amuangushe huyu shetani Ramadhani Madabida ili hii familia ya kishetani iwe out of politics, maana wanatumia siasa kuibia Watanzania.

du rekibisha hapo huu sio wizi i uuuaji ni sawa na kumpa mtu sumu hawana tofauti na babu wa loliondo ...alipewa gari na umeme na simu fasta na serikali hiii ya ccm na bara bara ili watu wawahi kufa

 
Du! Zarina madabida, Ramadhani madabida, dili la dawa za dola milion 5, maana yake 5,000,000*1570 = 7,850,000,000/= (Shilingi bilioni saba, milioni mia nane hamsini), hiyo sio ya mwaka huu, hebu mwaka huu tujue ni shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom