Ramadhani ilivyomchukua Spika Makinda. ujumbe tosha kwa wanasiasa wanawake wa chadema

Bendera fuata upepo!!

Bibi Kiroboto aliisha wakorofisha wazenj kule bungeni kwa kukataa kuahilisha BUNGE BAADA YA AJALI YA SKAGIT, SASA BAADA YA KUGUNDUA KOSA ALILOFANYA, HAPO KUVAA HIJAB NI KATIKA KUJARIBU KUJIKOSHA MBELE YA MACHO YA WAZENJ!! Mnafiki mkubwa huyu.!
 
1. Tanzania ni nchi isiyo na dini rasmi, ila yenye watu wenye dini.
2.Spika Makinda hakulazimika kuvaa hivyo, kama ambavyo mbunge yeyote halazimiki kuvaa hivyo.
3. Spika Makinda amevaa hivyo kwa utashi wake na pengine katik kutaka kuonyesha mshikamano wa Watanzania bila kujali dini.
4. Kwa kuangalia point namba 2, Halima Mdee akiwa mmoja wa wabunge, halazimiki kuvaa hivyo.

Msitake kutu Taliban.

As a matter of fact Spika MAkinda anaweza kuwa anafungua a Pandora's box kwa kuvaa hivyo. Aanaweka wapi mipaka? Je anafunga pia? kama anafunga anatekeleza nguzo nyingine pia? Wapi anachora mpaka wa "kuonyesha mshikamano" ?
 
kama ni mwema kweli kwanini hakutumia busara na badala yake akaleta siasa penye janga.ushuzi ni ushuzi hata kama ukiuchanganya na pafyum.
 
Good hon. supika umetoka bomba, hakija haribika kitu hapo!!! poa sanaa, ukifika kwa wenye chongo vunja lako jicho, tumikia kafiri upate mredi wako, walisema wahenga!!!!
 
IMG__5832.jpg


Mama makinda akiwa na Mh rais wa Zanzibar
IMG_5851.jpg


hii ni funzo kwa wabunge kama mdee na wengine wa chadema

images
mama halima mdee

IMG_5830.jpg

Jamani usi pretend fanya linalo kuhusu na utamaduni wako,ukiiga mwisho mtaleta ndoa ya jinsia moja.
 
Back
Top Bottom