Ramadhani ilivyomchukua Spika Makinda. ujumbe tosha kwa wanasiasa wanawake wa chadema

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
IMG__5832.jpg


Mama makinda akiwa na Mh rais wa Zanzibar
IMG_5851.jpg


hii ni funzo kwa wabunge kama mdee na wengine wa chadema

images
mama halima mdee

IMG_5830.jpg
 
kwaresima na nyie mvae rozari kama nyinyi mnavyotaka wenzenu kuvaa ijabu wakati wa ramadhani.
 
Umependeza sana Spika Makinda, sasa achana na yale manywele ya bandia.
 
alifanya hivyo baada ya kuwa anaweweseka usiku, baada ya sakata la meli, sasa mganga wa kumwagua aliambiwa yuppo visiwani , na ili umuone laima uvae hijab, hapo kwa dr Shein alipita tu, ili isijulikane anako kwenda. lol
 
Ameheshimu tuu hakuna zaidi, na wale ma sista wakanisani mbona wana vilemba na nguo ndefuu au mmeona alochovaa spika Makinda ndio chaajabu machoni kwenu,au mme muons kafanana na Bi nyakomba ndio mana mnasema?
 
Pole kwa ban karibu tena jisikie upo JF ushauri wa bure punnguza udini na hoja zisizo na mashiko. Join Date : 23rd July 2012 Posts : 5 Rep Power : 142 Likes Received 0 Likes Given 0
 
Kumbe gauni la spika kubwa....CCM mtamuua huyu mama kazi mliyompa ngumu! au mnaona aibu kumrudisha SITTA
 
Yeye kuvaa vazi hilo kuna uhusiano gani na wabunge wa Chadema? Hata hivyo yeye anajulikana kwa kujipendekeza na hapa yuko kwenye harakati za kujipendekeza. Simamia nafsi yako ikutumavyo na siyo nafsi za wengine!
 
Kwanini wanachadema peke yao na si wabunge wote wanawake? Yeye si ndo Supika ya Bunge?
 
IMG_5830.jpg
[/QUOTE]

kwa mujibu wa dini ya saw kupeana mikono huku ni sawa? wale wanaoijua vizuri waje watoe ufafanuzi tusiangalie kilemba tu
 
Back
Top Bottom