Raisi wa udom apelekwa South Africa huku wanafunzi wakilia njaa

itahwa

Member
Mar 23, 2011
97
142
Habari zilizotufikia leo ni kwamba raisi wa serikali ya wanafunzi pale udom college of educutaion apelekwa trip nchini south africa, raisi huyo bwana machumu jose,ameambatana na spika wake bwana gambalesi na waziri wake wa ulinzi bwana Mtaki, wote wakitokea mkoa mmoja wa MARA! Safari hii inatokea huku wanafunzi zaid ya 20 wakiwa wametimuliwa chini ya utawala wake bila sababu za kina! kama hiyo haitoshi anasafiri ilhali wanafunzi wake waliochamgua wakiwa hawajapata bumu lao na wakiwa wakiishi katika hali ngumu sana
 
leo hii kibwagizo ni Mkoa wa MARA,kesho utakuja na ubeti wa Wote ni Wasabato....teh, teh,teheeee! Nyie wasomi wetu bwana kuna wakati akili zenu zinaganda.
 
Usiwakatishe Tamaa bana wanaweza kukimbia shule hawa watotot...kazeni Mkwiji Urais hata yule mwenyewe mbona huwa anasafiri anaacha mambo kibao yako ovyoo!!! ndivyo walivyo hawa Marais kibao waliopo hapa Tz
 
Si mnajifanya ndio ngome ya ccm hiyo, safari za rais msishangae ameinga kwa mwenyekiti wenu
 
Habari zilizotufikia leo ni kwamba raisi wa serikali ya wanafunzi pale udom college of educutaion apelekwa trip nchini south africa, raisi huyo bwana machumu jose,ameambatana na spika wake bwana gambalesi na waziri wake wa ulinzi bwana Mtaki, wote wakitokea mkoa mmoja wa MARA! Safari hii inatokea huku wanafunzi zaid ya 20 wakiwa wametimuliwa chini ya utawala wake bila sababu za kina! kama hiyo haitoshi anasafiri ilhali wanafunzi wake waliochamgua wakiwa hawajapata bumu lao na wakiwa wakiishi katika hali ngumu sana
Hivi mlikuwa mnawachagua kwa kuangalia kigezo cha mkoa wanakotokea eeeh...
 
Ndio mkome maana mnasumbuaga sana club 84 mkiwa na hivyo vi hela.
 
BY MR SPEED:thinking:

WANAUDOM BOOM MTAWEKEWA MWAKANI SERIKARI HAINA HELA BAJETI IMEFIKA KIKOMO.

WELL COM INTO UDSM
 
Kuna haja ya kukaa na kujiuliza ni kwanini ninyi tu wakati wenzenu wameishapata na wanaenda pata lile la pili.Dhambi ya wenzenu walioondoka bure na ninyi kuendelea kukaa kimya inawatafuna.
Amkeni na piganieni haki iliyopotea ya wenzenu wote wote walioondolewa bila ya hivyo hakuna siku itakayokuwa afadhari.Simamieni kodi za wazazi wenu la sivyo mjiandae kujawasimulia watoto wenu namna mlivyokuwa wazembe na waoga kuliko hata uoga wenyewe.
 
Habari zilizotufikia leo ni kwamba raisi wa serikali ya wanafunzi pale udom college of educutaion apelekwa trip nchini south africa, raisi huyo bwana machumu jose,ameambatana na spika wake bwana gambalesi na waziri wake wa ulinzi bwana Mtaki, wote wakitokea mkoa mmoja wa MARA! Safari hii inatokea huku wanafunzi zaid ya 20 wakiwa wametimuliwa chini ya utawala wake bila sababu za kina! kama hiyo haitoshi anasafiri ilhali wanafunzi wake waliochamgua wakiwa hawajapata bumu lao na wakiwa wakiishi katika hali ngumu sana

Wameenda kuuza sura kwa mzee madiba?
 
Kuna uhusiano gani baina ya Safari ya Afrika Kusini na mkoa wanaotoka hao viongozi wenu, kwa militumia vigezo vya Kimkoa kuwachagua ? Au dhambi ya ubaguzi wa Ukanda, Ukabila na Udini inakunyelea wakati ndio bado unajiandaa kuingia katika maisha. Hoja yako ilikuwa nzuri ila umiharibu kwa kuweka dhana ya ubaguzi wa Kikanda.
 
Back
Top Bottom