Rais wetu ni huyu!

huyu ndio mkuu wa kaya 2015

483379_2899429084110_1211888716_32653549_658788707_n.jpg
 
huyu ndio mkuu wa kaya 2015

483379_2899429084110_1211888716_32653549_658788707_n.jpg

Wala hata hapendezie. Ila wewe unapendezea kweli na signature yako:OLE WAO FISI WAFUATAO NYAYO ZA SIMBA. Kwa nini umeamua kuwa fisi anayefuata nyayo za simba? Au wewe ndiye simba mwenyewe, unawaonea huruma fisi wanaofuata nyayo zenu ninyi simba. Kama ndivyo si unaona hata wewe mwenyewe unawaonea huruma. Haifai kabisa fisi kufuata nyayo za simba maana simba akimludi weeeeeee, na ndivyo kilivyo chama cha magamba.
 
Back
Top Bottom