DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru nauli zetu za likizo kwanini hamjalipa mpaka leo?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,173
6,157
SIsi watumishi walimu tuliwasilisha fomu zetu za likizo tangia mwezi wa 11 mwanzoni, ila mpaka tarehe ya leo hatujalipwa wakati likizo imeshafikia nusu.

Tunaomba mkurugenzi atueleze likizo tunaendaje? Kwanini amekalia pesa zetu na hataki kutulipa.

Mchengerewa wewe ni jembe tegemeo la Rais Samia Suluhu Hassan, tunaomba msaada wako tupate haki zetu.

Tunaomba ummulike huyu Mkurugenzi wetu, wanajiona wako mbali na Dodoma wanajifanyia wanavyotaka.
 
SIsi watumishi walimu tuliwasilisha fomu zetu za likizo tangia mwezi wa 11 mwanzoni, ila mpaka tarehe ya leo hatujalipwa wakati likizo imeshafikia nusu. Tunaomba mkurugenzi atueleze likizo tunaendaje? Kwanini amekalia pesa zetu na hataki kutulipa. Mh. Mchengerewa wewe ni jembe tegemeo la mh. Rais wetu Dr. Samia Suluhu Hassan, tunaomba msaada wako tupate haki zetu. Tunaomba ummulike huyu mkurugenzi wetu, wanajiona wako mbali na Dodoma wanajifanyia wanavyotaka.
Nitajie majina yako matatu
 
Back
Top Bottom