Rais wetu ni huyu!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,399
255
Slaa.jpg
Huyu ndo kichwa, jembe, mtu makini....... ndo rais wangu na wa TZ wote.
Huyu atawafunga mafisadi wote very soon!!!!!
 
Kwa mfumo tulio nao upinzani kuchukua nchi sio kitu cha kutegemea.
 
Sipati picha wkt tunwaona bm,jk,chenge na mafisad wengine wakitupia madebe!
 
Umeishamaliza kabisa
2015=CCM ICU
chin ya usimamizi mkali wa daktari bingwa wa Uchaguzi
 
Lowasa is the only one,forget about CMD,we just need them in Parliamentary seats.Not Presidential Position.Mtasubiri sana. CCM will die but never perish.
 
Mwaaaaaaaaaaah naipenda chadema sasa na hata milele,huyu bwana ni zawadi tka kwa mungu. 2c ichezeeee wa tz
 
Back
Top Bottom