Rais wa Zanzibar kufanya uteuzi wa wajumbe wa Tume ya Uchaguzi bila kushauriana na upinzani.

Akli mgando za wawakilishi CCM,Wanafikiri watatawala milele,,,CUF imeshawahi kuwambia CCM kama wao CUF watashinda watakaa meza moja na CCM, kwa manufaa ya wazanzibar itakuwa jambo la busara kama CUF watabaki na msimamo huo huo kama watashinda....

Hapa unawaonea manake CUF hawapo na maisha lazima yaendelee ulitaka wafanyaje wakati CUF wamesusa. Let them kiss their own assy na wengine wasonge.
 
Hata twenge kuwemo wakiamua hao ndio wameamua sisi Hilo wala hutulijutii twawacha muweweseke nyinyi tu
 
Hapa unawaonea manake CUF hawapo na maisha lazima yaendelee ulitaka wafanyaje wakati CUF wamesusa. Let them kiss their own assy na wengine wasonge.
Ndio hizo akili mgando ninazozingumza,kwani wapinzani CUF tu,vyama vya siasa vinakuja na kaondoka,kimantik vyama vyote vya siasa vipo kwa manufaa ya wananchi kutokana na sera za chama,maamuzi yaliyofanywa ni kama vile hamna wazanzibari wenye muono mwengine kwenye siasa za zanzibar
 
Sijui zanzibar inaelekea wapi, tutaendelea kuitawala milele
Ni kijiba cha moyo kiliomshinda sungura, akaja fisi nae kikamkwama seuze nyau - wache walalame. Mshairi maarufu Zanzibar pia alitanabahisha kua wa " Si ajabu kumuona kiroboto akimbwaga tembo porini"
Baraghash mbona kimya?
Kila siku unaleta habari za BLW, tumekuuliza unalitambua?

Jambo lolote linalohusu muungano, upo jamvini ukileta habari moto moto
Haya yanayohusu znz kimyaa

Tulikwambia, chuki dhidi ya Tanganyika zina mipaka.
Zikimalizika zinaanza zile za ndani.

Unaona haya?
Hakuna cha kuona haya. Rejea msimamo wangu kuhusi hili la kumpinga Maalim Seif kususia uchaguzi kwa maslahi yake binafsi. Haya yanaweza kuonekana kama pigo kwa wapinzani wa kweli lakini wapiga kura ni wale wale na wanaongezeka kila kukicha kuliko kupungua. CCM italazimimka kuchagua MAJECHA matupu katika Tume ya uchaguzi kwa sababbu hata Tume iliopita wajumbe wawili tu ndio waliotoka CUF lakini bado JECHA alihitaji msaada wa nguvu za dola kumsaidia kufanikisha uovu wake baada wenzake kumtenga. Nani kama mama Zanzibar - Hakuna
 
Ndio hizo akili mgando ninazozingumza,kwani wapinzani CUF tu,vyama vya siasa vinakuja na kaondoka,kimantik vyama vyote vya siasa vipo kwa manufaa ya wananchi kutokana na sera za chama,maamuzi yaliyofanywa ni kama vile hamna wazanzibari wenye muono mwengine kwenye siasa za zanzibar

ni mgando wako unakutuma kwamba CCM si wananchi?
 
ni mgando wako unakutuma kwamba CCM si wananchi?
CCm ni wananchi na wale CUF ni wananchi,Chadema ,,,,, etc,na ndio maana ilikuwa sio muafaka kubadilisha katiba wakati wako peke yao katika baraza,ni uchoyo,wivu,woga,chuki,ujinga na ulimbukeni wa madaraka waliokuwa nao wana CCM
 
Back
Top Bottom