Rais wa chit-chat

hah hah hahaaaa! wajina alinifanya nilikimbie jina langu kwa muda!
Jaman si unajua mimi "nagombewa!" Ndio maana jina langu halipo kwenye wagombea! lol....
Hahahaha! Hivi wajina ameshatutaka radhi watanzania au bado kajikausha?

Afu ukome kusema eti unagombewa, tulikugombea mie na marejesho na akashindwa kwa kishindo sahivi najilia bata peke yangu! Ole wake nitakayemuona anakukodolea macho!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady mi sijambo aise
Nimekumissije
Pokeo busu murua mwahhaaaaa achana na siasa za akina Erickb52 na akina Mungi
kwanza Mungi kaachwa na mkewe ndo maana habanduki humu siku hizi Arushaone jana alilewa mbaya mpaka karudishwa home kwake na toroli
Mwaaaaaah pia!

Nimecheka sana hiyo ya Arushaone kurudishwa home kwa toroli lol, yan kama namuona vile. Mungi kaachika kwa mkewe na kwenye siasa napo hatakiwi ndio mana anagombea urais chit chat! Erickb52 tushamzoea kwa majungu wala asikupe tabu kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Sijambo sweetlady. una maanisha na Mr Rocky naye hatumii kinga kama Arushaone na mke wa Boflo?

Mkuu Mungi kinga ya nini bana wakati kitu kinaita aise
hapo kinga inakuwa ni kama kula pipi kwenye ganda mkuu hainogi bana Mungi huyo Arushaone kashaaachwa na mkewe sasa hivi anakumbatia mto tuu

Mkuu nimeambiwa na sweetlady kuwa we na DUME ni panya na paka

Mungi wewe ni mtabiri nini aise
hiyo kitu mi naona kama sumu bana na nikitumia napata alergy kabisa sweetlady anajua yote hayo
 
Last edited by a moderator:
Mungi naona umeanza kuchanganya madesa lol. Nilikwambia Erickb52, Blaki Womani, Arushaone, PakaJimmy, Mzee wa Rula ndio ambao wana aleji na hiyo kitu, tafadhali usinichonganishe na laazizi Mr Rocky!

Mungi ana yake na ndo maana siasa kule kafukuzwa anakimbilia chit chat
laaziz mbona hujanipendekeza aise nigombee cheo cha waziri wa mambo ya ndani wa sweetlady
Mwaaaaaah pia!

Nimecheka sana hiyo ya Arushaone kurudishwa home kwa toroli lol, yan kama namuona vile. Mungi kaachika kwa mkewe na kwenye siasa napo hatakiwi ndio mana anagombea urais chit chat! Erickb52 tushamzoea kwa majungu wala asikupe tabu kabisa!

laaziz mwaaahhaaa tena na tena na tena na tena Arushaone kajifanya mjanja kabugia gordons utafikiri ndio mara ya kwanza kuiona kutoka hapo hajiwezi Erickb52 ni balaa yule na ana wanted ya kutokanyaga mwanza kabisa
 
Last edited by a moderator:
Dark City ujue ukiwa kimya bila kufanya kampeni zetu zile enzi za temeke kwa sisqo mtiro ujue hatupati nji hii!oh
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha Mr Rocky nimekugongea like kimoyomoyo(niko via mchina hapa lol) ..,..

Mwaaaaaaaa! Mwaaaaaaa! Mwaaaaaaaa! (hapa lazima kuna mtu atajinywesha sumu kwa wivu anajijua)

Nimekupendekeza laazizi usijali na nna hakika utashinda kwa kishindo!
 
Last edited by a moderator:
sawa mkuu navisubir, kwan nilishindwa kushiriki ktk kuchagua kambi ya kusapoti so after jibu lako ntafanya maamuz ....

Endelea kupiga kampeni, wenzio wanasonga mbele au hujampenda hata mmoja?
 
Hahahahaha Mr Rocky nimekugongea like kimoyomoyo(niko via mchina hapa lol) ..,..

Mwaaaaaaaa! Mwaaaaaaa! Mwaaaaaaaa! (hapa lazima kuna mtu atajinywesha sumu kwa wivu anajijua)

Nimekupendekeza laazizi usijali na nna hakika utashinda kwa kishindo!
Halafu wewe sweetlady hujajiandikisha sidhani kama utapiga kura.
 
Last edited by a moderator:
Endelea kupiga kampeni, wenzio wanasonga mbele au hujampenda hata mmoja?

hawajaweka sera zao mezani...nitapigaje kampen bila kujua sera na mipango mikakati yao? Au unataka nipige debe kutegemeana na sura za wagombea?
 
Back
Top Bottom