Rais wa chit-chat

Ha ha ha ha, dah
Hii kali, hadi ubodigadi unagombewa??

Kongosho umeshaharibu unaona sasa...........................we ngoja nikutafutie timingi ya kukurushia kiti kizito.........
Lakini mi nimeomba kugombea ubodigadi wa mke wa rais.........hata hapo pia ni shida?
 
Kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa wana Chit chat.
Ibala ya 6, Kifungu cha 1, Jamuhuri hii lazima iwe na Rais, lakini hakuwepo kwa muda sasa.
Ni muhimu sasa tufanye uchaguzi. Wagombea ni Arushaone, Erickb52, @TANMO na Boflo.
Wasimamizi ni @Judgement, Kongosho, Mamndenyi na Preta. Naandaa daftari la wapigakula.
Tuwajadili wagombea kwanza.
...yaaani TANMO mgombea...halafu. Preta msimamizi...uchaguzi utakua sio wa "HURU na HAKI"
 
Last edited by a moderator:
dah,hizi chaguzi kila siku,ikifika wakati wa udiwani mnijulishe,nipiganie
 
naomba kuwa naprovide vitu vyenye ncha kali, haswa kwa watakaopinga matokeo! ni kawaida ya ngozi nyeusi kuwa na ubishi! muongozo tafadhali!

andaa sniper!
Matokeo yakitoka hakuna kuuliza.
Ni vilio na vicheko. atakaeuliza tupia ncha kali
 
Back
Top Bottom