Rais wa 2015

Status
Not open for further replies.

chechekubwa

Member
Nov 3, 2010
5
6
Habari za kuaminika ni kwamba atakaerithi mikoba ya jk 2015 ni sophia simba. Huyu mama ni shujaa na mpenda maendeleo sana. Ukimzingua anakupa za kichwa kwahiyo wadau tuanze kumkampenia ili apite bila kupingwa.
 
rais atakuwa mkristo kabla nchi haijasilimishwa na sheikh kikwete
 
Ha ha ha ha, SOPHIA WHO????

Nafikiri mwanaume wake wa shoka ndo atakuwa anaongoza kupitia mgongo wake.......au labda nchi itakuwa ilishagawanywa???

Endeleeni na kampeni,ngoja nisubiri na CHADEMA,APPT,NCCR,CUF,UPDP,DM,DP,JAHAZI nao wataje wagombea!!!:smile-big:
 
Udini unakuja kwa kasi ya ajabu ukianzia pale bungeni pale mkuu alipoutambulisha rasmi na kuuzindua.
 
Habari za kuaminika ni kwamba atakaerithi mikoba ya jk 2015 ni sophia simba. Huyu mama ni shujaa na mpenda maendeleo sana. Ukimzingua anakupa za kichwa kwahiyo wadau tuanze kumkampenia ili apite bila kupingwa.

Uchaguzi ndio tuu umemalizika hata aliyeapishwa kama Raisi hajamaliza kazi ya kuteua wasaidizi wake wakuu mfano makatibu wa wizara, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi. Ni mapema sana kubashiri mambo yatakayotokea miaka minne na nusu ijayo, pengine hata hiyo katiba mpya inaweza kuondoa ukomo wa miaka kumi ili kupunguza gharama za kuwahudumia maraisi wastaafu au kwa kuwa uchaguzi utafanyika kwa kufuata katiba mpya basi raisi aliyepo sasa akaruhusiwa kugombea kwa mara ya kwanza kwa mujibu wa katiba mpya
 
Nadhani wakati umefika sasa kwa new members kufanya aptitude test kabla ya kuwa registered ili IQ zao ziwe tested. Atlest tutaprotect our motto of " HOME OF GREAT THINKERS" Otherwise we will loose JF credibility.

habari za kuaminika ni kwamba atakaerithi mikoba ya jk 2015 ni sophia simba. Huyu mama ni shujaa na mpenda maendeleo sana. Ukimzingua anakupa za kichwa kwahiyo wadau tuanze kumkampenia ili apite bila kupingwa.

hizi ndo type za binadamu zisizotakiwa tanganyika,,,,,
 
Funga kabisa hii THREAD Mod kwa kuleta umbea jamvini bila SOURCE.
Vyanzo vya kuaminika ndio vyanzo gani?????
 
Uchaguzi ndio tuu umemalizika hata aliyeapishwa kama Raisi hajamaliza kazi ya kuteua wasaidizi wake wakuu mfano makatibu wa wizara, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi. Ni mapema sana kubashiri mambo yatakayotokea miaka minne na nusu ijayo, pengine hata hiyo katiba mpya inaweza kuondoa ukomo wa miaka kumi ili kupunguza gharama za kuwahudumia maraisi wastaafu au kwa kuwa uchaguzi utafanyika kwa kufuata katiba mpya basi raisi aliyepo sasa akaruhusiwa kugombea kwa mara ya kwanza kwa mujibu wa katiba mpya

Huna habari kwamba uchaguzi ni wakati wowote tangu sasa?? Hatutaki Rais Rostam Aziz ikulu, Watanzania tumekataa na ngoja uone watu wanavyotupiwa virago vyao.

We need CREDIBLE elections si hizi michezo ya kuigiza.
 
:A S thumbs_down:
Habari za kuaminika ni kwamba atakaerithi mikoba ya jk 2015 ni sophia simba. Huyu mama ni shujaa na mpenda maendeleo sana. Ukimzingua anakupa za kichwa kwahiyo wadau tuanze kumkampenia ili apite bila kupingwa.
 
Nadhani wakati umefika sasa kwa new members kufanya aptitude test kabla ya kuwa registered ili IQ zao ziwe tested. Atlest tutaprotect our motto of " HOME OF GREAT THINKERS" Otherwise we will loose JF credibility.

Ni sawa kabisa ila hata mwewe mwenyewe nina wasiwasi na IQ yako kwani ni mvivu sana. ume join tangu 2008 lakini mpaka leo una post 66 tu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom