Rais Tusaidie hisa za vodacom

shinyangakwetu

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
2,454
2,359
Huu ni mwaka wa 6 sasa tangu wafanyakazi wa umma tulazimishwe kununua hisa za vodacom kwa lengo la kupata gawio kila mwaka.

Lengo lilikuwa zuri ila ni miaka mitatu hatujapata gawio. Mama Yetu Rais wetu Mpendwa sana tunaomba tusaidie turejeshewe hela zetu wengine tumeshastaafu kazi walau hizo hela zitusaidie kufanya mambo mengine ikiwemo kilomo ambacho tutapata faida kuliko kukaa tu kwa watu wachache kuzitumia kujilipa mishahara minono.

Ni mabilioni ya fedha yako mikononi mwao.

Tunaomba sana sana Mama na Rais wetu
 
Huu ni mwaka wa 6 sasa tangu wafanyakazi wa umma tulazimishwe kununua hisa za vodacom kwa lengo la kupata gawio kila mwaka.

Lengo lilikuwa zuri ila ni miaka mitatu hatujapata gawio.
Mama Yetu Rais wetu Mpendwa sana tunaomba tusaidie turejeshewe hela zetu wengine tumeshastaafu kazi walau hizo hela zitusaidie kufanya mambo mengine ikiwemo kilomo ambacho tutapata faida kuliko kukaa tu kwa watu wachache kuzitumia kujilipa mishahara minono.

Ni mabilioni ya fedha yako mikononi mwao.

Tunaomba sana sana Mama na Rais wetu

"Tulazimishwe" - inawezekana mmepigwa na Vodacom ilikuwa gear tu
 
Vipi kuhusu walimu waliopewa hisa 100 za kumiliki Benki ya Walimu? Na wengine wakadiriki kununua hisa za kutosha tu!! Hivi na hiyo benki yenyewe kwanza bado ipo! Na imeshawahi kutoa gawio lolote lile kwao?

Je, walimu wanafurika kote nchini kwenda kukopa kwenye benki yao pendwa, badala ya Bayport, Platinum, Maboto, NMB, CRDB, nk? Majibu tafadhali kutoka kwa walimu wa CWT na Chakuhawata. Maana mada kama zinaendanda hivi!!
 
Hakuna mfanyakazi wa umma wala mtu yeyote aliyelazimishwa.

Ulishauriwa kabisa uombe msaada kwa mtaalamu wako wa masuala ya fedha kabla ya kununua.

Ulifanya hivyo kwa hiari yako, usitafute wa kumlaumu.
We kama ni mkulima wa makongorosi huwezi kujua kilichowatokea wafanyakazi kuhusu hisa za voda wakati wa mwendazake
Tulia na mumeo tuache sisi tuombe msaada
 
Huu ni mwaka wa 6 sasa tangu wafanyakazi wa umma tulazimishwe kununua hisa za vodacom kwa lengo la kupata gawio kila mwaka.

Lengo lilikuwa zuri ila ni miaka mitatu hatujapata gawio.
Mama Yetu Rais wetu Mpendwa sana tunaomba tusaidie turejeshewe hela zetu wengine tumeshastaafu kazi walau hizo hela zitusaidie kufanya mambo mengine ikiwemo kilomo ambacho tutapata faida kuliko kukaa tu kwa watu wachache kuzitumia kujilipa mishahara minono.

Ni mabilioni ya fedha yako mikononi mwao.

Tunaomba sana sana Mama na Rais wetu
Elimu ya fedha ni ndogo sana barani afrika. Hivi mtu mwenye fincial education nzuri anaweza andika kitu kama hiki kweli?

Je unajua jinsi gawio linavyotolewa kweli?
 
Elimu kuhusu shares unayo lakn
Maana hizo pesa hazidaiwi tu kama fao la wastaafu etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom