Rais Sata wa Zambia ateua Baraza la Mawaziri.

2015 kitaeleweka maana hii sera ipo ktk Ilani yetu sisi wana demeokrasia.
People's power ndio mkombozi wa Tanganyika
 
Satta alikuwa amempa waziri wa sheria siku 30 za kufanya uchunguzi wa uuzaji wa hiyo bank, lakini baada ya siku tatu toka atoe siku 30, kugundulika kuwa hakuna document za kisheria za uuzwaji, ameamuru bank kurudishwa kwa mmiliki alienyanganywa kwa sababu za kisiasa mara moja.
Huyu ndio Dr Slaa wa Zambia bana, hatafuni wala hamung'nyi maneno. Yeye kila kitu ni straight forward!
.
 
Africa is a Richest place,in turn africans are the poorest people.we trusted our leaders and they have became rulers,they have betrayed us... May be satta might not be one of them but mind you he's coming from same generation of greedy leaders.mobutu,chiluba,raila,nkapa,bashir,Ben ally,muamar,mu7...are the same hyenas of the same color. Any way, Its too earlier to mistrust satta lets gv em 365dyz!
Ninakubaliana nawe Mkuu kuwa Satta ni kutoka generation hiyo hiyo, tafauti ni moyo wa kuongoza sio kutawala. Angalau huyu mzee ameonesha nia njema mapema. Lilobaki ni kwa Wazambia kuunga mkono mageuzi yake. JK alifanya nini kujitenganisha na utawala wa Mkapa?
Nimesoma posts zinazotaka rais kama Satta apatikane Tanzania, wasiwasi wangu ni kuwa Watanzania bado hatujawa tayari kuondokana na magamba. Siku tukiamua tutaweza.
 
Walipoteuliwa, DC wa Dar Sadiki akasema kazi yake itakuwa kusafisha jiji, wa Kagera, Massawe, akajipambanua kupambana na fataki wanaochakachua watoto wa shule, wa Rukwa, Manyanya, akasema yeye kateuliwa kwa sababu media ilitangaza vizuri kazi zake Bungeni! Cheki huo mkorogo wa kazi za hawa wakuu! Juzi Pinda kasema akiwa mikoani hataki hawa wakuu wamfuate fuate kwenye ziara vijijini, wakati siku zote tulidhani Waziri Mkuu akija, Rais, Mkata tepe Billal, etc. lazima serikali za mitaa ziwe kwenye msafara wa mamba, kumbe wapi, hakuna anaejua job description zao!
 
Halafu nimeipenda sana ile sera yake aliyosema kuwa utawala wake atauendesha kwa amri kuu kumi! na katika amri hizo amri moja ameitilia mkazo kua usiibe! safi sana King Cobra.
 
Mazezeta yetu yapo tu mpaka yanapigwa bao na huyu mzee!

Yamebaki kufikicha mikono tu wakati yanaongea na jingine kujichekeshachekesha tu, lakini kuchukua maamuzi magumu yameshindwa.

Use less Pres and PM
 
If you are leader and you know what you are doing ... No hesitation on decision making ... You exercise the authority no deal darling ..you simply do what must be done ...even if its the impossible, its the right thing? you do it ... Sata ... Big up!!

He is the real deal. We need our own Sata in Tanzania.
 
Huyu Mzee mimi nimemvulia kofia kwa maamuzi mazuri anayoyafanya katika kipindi kifupi tu tangu aingie madarakani ukilinganisha na huyu wa kwetu ambaye pamoja na kuwepo miaka sita madarakani hakuna hata moja alilofanya ambalo tunaweza kujivunia.
 
Back
Top Bottom