Licha ya mapungufu ya marehemu magufuli kuwa mengi lakini kwenye umeme alijitahidi sana kuweka sawaKwan wakati wa Magufuli ilikuwaje?Mbona mlikaa kiimya??
Licha ya mapungufu ya marehemu magufuli kuwa mengi lakini kwenye umeme alijitahidi sana kuweka sawaKwan wakati wa Magufuli ilikuwaje?Mbona mlikaa kiimya??
Hawa ni wakurugenzi wa Tanesco? au wapo kwenye Bodi ya Tanesco? au umeamua kuwa Shemeji wa Tanesco kwa nguvu pasipo kujali kuwa utaonekanaje? Tanesco ya sasa wamejitahidi sana kulinganisha na tanesco ya kipindi cha kikwete ambayo ilikuwa kero kubwa mgao wa umeme usiokwisha, acheni Majungu acheni fitna zisizo na tijaFumueni vyote niachieni mademu zangu Marcia Simfukwe na Delphiner Karumuna
Jua sehemu ya kupeleka malalamiko yako. Ungereply kwenye post ya kwanza nadhani ungeeleweka zaidi.Hawa ni wakurugenzi wa Tanesco? au wapo kwenye Bodi ya Tanesco? au umeamua kuwa Shemeji wa Tanesco kwa nguvu pasipo kujali kuwa utaonekanaje? Tanesco ya sasa wamejitahidi sana kulinganisha na tanesco ya kipindi cha kikwete ambayo ilikuwa kero kubwa mgao wa umeme usiokwisha, acheni Majungu acheni fitna zisizo na tija
Kwa rushwa wanayochukua sipendekezi waongezewe mshahara.Tanesco wamejitahidi kuboresha huduma ingawa miaka 6 hawakuwa na nyongeza za mishahara
Ndugu mpendwa Mteja wetuKwa rushwa wanayochukua sipendekezi waongezewe mshahara.
Hivi menejiment inajua kwamba kila saveya akija kufanya kazi yake ya kusavei lazima aondoke na pesa. Kwa mkoa wa Pwani. KIBAHA dau lao Ni 40k. Otherwise utaletewa makadirio ya nguzo moja ya ziada au mkwara wowote tu.
Kuna siku si nyingi masaveya wa KIBAHA watapewa hela za Moto.
Ndugu mpendwa Mteja wetuHilo ni jipu waziri azunguke atakuta madudu ya kutosha, mtu kalipia minimum toka November hadi leo hajafungiwa umeme ina maana utendaji kazi ni wa pole pole kiasi hicho?
Tanesco wamejaa wasukuma msitegemee mambo yaende vizuri pale.Waanze na waziri,, si msukuma yule
Tanesco jiandaeni kufumuliwa mmezubaa mno na usukuma umezidi.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Wape hela kidogo hapo ofisini kwao,nakuhakikishia haitafika kesho kutwa wanakuwekea umeme.Hilo ni jipu waziri azunguke atakuta madudu ya kutosha, mtu kalipia minimum toka November hadi leo hajafungiwa umeme ina maana utendaji kazi ni wa pole pole kiasi hicho?
Kumbuka mtoaji na mpokeaji wote ni wahalifu na kulalamika bila kutoa urishirikiano sio jambo zuri.Je umlipatia nani? Lini? Wilaya gani na namba ya simu tafadhaliWape hela kidogo hapo ofisini kwao,nakuhakikishia haitafika kesho kutwa wanakuwekea umeme.
Ndugu mpendwa Mteja wetuPole na pongezi kwako, naomba nikufikishie hili la TANESCO kuweka umeme kwenye nyumba imekuwa balaa, baada ya kufanya wiring ili kumpata surveyor inabidi usubiri hata miezi sita ila ukitoa chochote wanakuja kwa haraka, wakikuambia kwamba watakuletea umeme bila nguzo gharama yake ni laki tatu, ambapo watakuahidi kuwa watakuja baada ya wiki mbili hapa unaweza kusubiri miezi miwili au mitatu kama hujatoa chochote.
Cha kusikitisha zaidi ni pale eneo lako linapohitaji nguzo moja au zaidi, bei ya nguzo moja ni zaidi ya shilingi laki tano sawa na mshahara wa afisa wa serikali mwenye elimu ya shahada ya kwanza fikiria kama eneo lako linahitaji nguzo tatu mbaya zaidi watakwambia kuwa baada ya kulipa usubiri miezi miwili ila kiukweli hapa utasubiri mpaka miezi sita.
Kama haya yanayotokea ni uzembe, naomba waziri mwenye dhamana na mkurungenzi mtendaji wawajibishwe kwani wanahujumu serikali tunashindwa kufanya biashara ndogo ndogo ambazo zinahitaji umeme, hivyo kuikosesha serikali mapato.
Pia wahusika wawajibishwe kwa kutokuwa waadilifu; yaani kwa sasa mtu Akihitaji kuweka umeme ni mpaka amjue fulani hili shirika sijawahi kulielewa.
Ndugu mpendwa Mteja wetuNtaweka yooote hapa
Ndugu mpendwa Mteja wetuNinashauri bodi ya tanesco isambaratishwe, haipitishi miradi kwà wakati,
Mkishajulisha kupitia JF, tatueni matatizo ya wananchi.acheni siasa. Unataka namba ya simu ? Mnachekesha kweli.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Je ni mradi gani unaolalamikia?
Ni jambo jema kutuma taarifa hata inbox kutuwezesha kukuhudumia.Tafadhali tambua lengo la kulalamika ni kuhudumiwa vinginevyo nia yako inakuwa haiko wazi.Sisi Makao Makuu TANESCO tunaahidi kukupa ushirikiano wowote utakaohitaji kuhakikisha unapata huduma stahikiMkishajulisha kupitia JF, tatueni matatizo ya wananchi.acheni siasa. Unataka namba ya simu ? Mnachekesha kweli.
Wewe ndiyo unalialia kishamba kipumbavu pumbavu kutengeneza utumbuaji bandia wa roho mbaya kutaja majina ya watu kwa njia za kijinga unajiona mjanja? acha ubwege roho mbaya dua zako za kuku utasalia nazo huko ulipo, Tanesco ipo imara licha ya Majungu yako na dua zako za kijingaJua sehemu ya kupeleka malalamiko yako. Ungereply kwenye post ya kwanza nadhani ungeeleweka zaidi.
Mkisikia kutumbuliwa mnaliiiiiiiiiiaaa😢😭😢😭
Cheki inboxNdugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tumeangalia bado hakuna taarifa mkuu wetuCheki inbox