Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,571
- 2,201
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM, Makao Makuu ya CCM (White House) jijini Dodoma.
===
Makamu Mkt wa CCM -Taifa Upande wa Zanzibar Mhe Ally Mohamed Sheini akifurahia jambo na Mkt wake Ndg Samia Suluhu Hassan katika Ukumbuni wa Halmashauri Kuu Jijini Dodoma Leo,
Katibu Mkuu wa ccm-taifa Ndg Daniel Chongolo ( Mtu wa Mungu) katika mawasilisho ya Agenda mbalimbali za kikao Mapema Leo katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma,
Makamu Mkt wa ccm-taifa Ndg Abdurahman KINANA akitoa miongozo mbalimbali katika kikao Leo ikumbukwe pia Mzee KINANA ndio Mkt wa Nidhamu na Maadili ya Chama,
Katibu wa Halmashauri Kuu NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akihutubia Mkutano Leo,ikumbukwe pia Shaka ndio Msemaji wa Chama cha Mapinduzi ( CCM )
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Ramadhani akiteta jambo na Ndg Tulia Ackson na Majaliwa Majaliwa muda mfupi kabla ya kikao kuanza,
Rais wa Zanzibar Mhe Hussein Mwinyi,Spika wa Bunge la JMT Dkt Tulia Ackson , Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe Hemed Ramadan ambao pia ni Wajumbe wa kamati Kuu na Halmashauri kuu Ccm-taifa wakiwa katika kikao Leo
Mwonekano thabiti wa Wajumbe wa Halmshauri kuu ya CCM-TAIFA wakiendelea na kikao Mapema Leo,
Hakika hakuna kama CCM na hii ni kwa Africa nzima,
#Bila CCM imara nchi itayumba kila Mtanzania aiombee CCM.