Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

Serikali hii naipa mbinu kila siku lkn haisikii.

Punguzeni Bei ya gesi matumizi ya kuni na mkaa yapungue Hadi vijijini.

Siku hizi ukiwa Kibaha hutaona gari la mkaa Ila utaona pikipiki zaidi ya elfu zenye Lumbesa za mkaa wakitokea Mlandizi na maeneo yanayozunguuka mto Ruvu.

Kila ofisa wa maliasili aidha Ni tajiri au ana wake watu na kuendelea.
 
Ni mipango mibovu pia ya watendaji, mvua huwa inanyesha ya kutosha tu, mbona sijawahi ona maeneo ya kutunza maji........nchi hii wanasiasa wanaongea rahisi sana mambo magumu
Tatizo hakuna mipango endelevu, hili jambo lifanyike kitaalamu.
 
Serikali hii naipa mbinu kila siku lkn haisikii.
Punguzeni Bei ya gesi matumizi ya kuni na mkaa yapungue Hadi vijijini...
Gesi asilia toka igunduliwe miaka ya sabini haijawahi kuwekwa kwenye mtungi,gesi inayotumika inatoka nje. Labda tuwaulize hao serikali kwanini imeshindikana au tuna ombwe la uongozi?
 
Back
Top Bottom