Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Kila kitu kwake ni bure, mshahara wake haugusi kabisa, hata yale magoli anayonunua hagusi mshahara wake
 
Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Nikusaidie kuuliza swali la pili.

Hivi huwa anarudia kuvaa nguo aliyokuwa ameivaa? yaani huwa zinafuliwa na kuja kuzivaa tena? au akivaa mara moja anaidump kule?
 
Mkuu unaishi wapi tuonane tunywe wine? Yaani mke wangu tu home ninavyompamba. Yaani anarudia nguo za kutoka baada ya miaka kadhaa sembuse Rais wa nchi? Kwanza ninataka mhusika wake wa kumvalisha ambadilishie mavazi yawe expensive zaidi. Kama ni Kitenge kiwe ni no 1 kabisa the wax yaani kama ni suiting material iwe classic. Tena ashonewe na designers wakubwa. She is our president, our first family, our first female in this country. Ni lazima avae Sana na apendeze kuliko Wanawake wote kimavazi. Kudos
Exquisite

Thanks for an awesome compliments and invitation mkuu....

Karibu kijijini Mtamba Kisarawe

#SiempreJMT
 
Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Rais ni taasisi,Ina bajeti yake na Kuna plotokali za kufata anaandaliwa Kila kitu,acha roho mbaya
 
mwanamke kubadilisha nguo hata mara 3 kwa siku siyo kitu cha kushangaza na kukifungulia mjadala, wao wameumbwa kupenda kupendeza , na wakipendeza ndo heshima na thamani yao inapanda zaidi, angekua mchafu ungesema pia kuwa rais anavaaje nguo moja siku mbili
 
We mtoa post ni pomole... kumbe Tz bado tunawajinga kiasi Cha wewe, wewe niwahovyo! Kweli Karne hii mtu unakuja na hoja za kijinga namna hii?
Sijui enzi za mwalim hali ilikuwaje Tz, enzi hzo nchi ipo kwenye serious Vita ya UJINGA,MARADHI NA UMASIKINI
Ndio bado wapo na wamebaki wawili tu, mama na baba yako tu,
 
Back
Top Bottom