Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
16,716
10,994
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia na kuwa Mwenyekiti Mwenza wa mkutano huo.

Rais wetu amepewa heshima hiyo ya kipekee kabisa kutokana kutambua mchango wake chanya na juhudi zake kubwa za kuhakikisha kuwa Dunia inaelekeza nguvu zake zote katika matumizi ya nishati safi ya kupikia .na kuachana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa, ambazo zimekuwa na athari kubwa sana kimazingira kwa kuchochea ukatwaji wa miti unaopelekea mabadiliko ya tabia ya nchi , pamoja na kuhatarisha afya za watumiaji ambapo vifo vingi sana vimekuwa vikitokea kutokana na matumizi ya nishati hizo za kuni na mkaa kila mwaka..

Katika safari hiyo itakayomfanya kuwepo nchini Ufaransa kwa siku nne ,itawakutanisha viongozi na wadau mbalimbali kutoka maeneo tofauti tofauti Duniani.lakini pia Rais wetu mpendwa atakutana na Rais wa Ufaransa Mheshimiwa Emmanueli Macron na kufanya Naye mazungumzo ikulu ya Ufaransa katika kuimarisha ushirikiano wa nchi zetu.

Katika mkutano huo mbali na masuala mbalimbali yatakayojadiliwa ,lakini pia mkutano huo utaangazia na kujikita katika kuyashawishi mataifa yaliyoendelea na taasisi za kifedha kutoa ahadi ya fedha na kubadili sera na sheria zitakazo chochea matumizi ya nishati safi na salama,kutunga sera zitakazorahisisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.

Ikumbukwe pia kuwa hapa nchini Mheshimiwa Rais ameshaanza kuchukua hatua za kuhakikisha kuwa nishati safi ya kupikia inaanza kutumika kwa taasisi zote zinazohudumia watu wengi, kama vile kwenye kambi za jeshi,vyuo n.k.lakini pia wadau wamekuwa wakishauri pia serikali iangalie namna ya kupunguza au kuondoa kodi kabisa katika uagizaji wa majiko ya gas ili yauzwe kwa bei ya chini na kumfanya mwananchi Amudu gharama za kununua na kuachana na matumizi ya mkaa na kuni.

Lakini pia wengine wametaka kuwa serikali iangalie namna ya kuweka sera nzuri ambazo zitapelekea ujazaji wa gas kushuka na ikiwezekana mtungi mdogo ujazwe gas na mwananchi walau hata kwa shilingi elfu kumi au kama itazidi basi isizidi shilingi elfu kumi na tano. Jambo ambalo serikali yetu imesema lengo ni kumfanya kila mtanzania atumie nishati safi ya kupikia na tayari imeweka mikakati ya kuhakikisha nishati hiyo inapatikana kwa bei ndogo kabisa ambayo kila mtu ataimudu na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa.

Tumuombee Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu asafiri salama na kufika salama kabisa katika mkutano huo.lakini pia tumuombee Rais wetu ili Mungu amtie nguvu na kumpatia afya njema wakati wote awapo safarini na katika mkutano huo ambao macho na Dunia nzima yataelekezwa kwake na kumsikiliza Mama Wa Dunia akizungumza na kushusha NONDO zitakazoiteka Dunia hakuipa Elimu ya nishati safi ya kupikia hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa Rais Samia Kama Mama anatambua athari za matumizi ya kuni na mkaa kiafya.

Jiulizeni kuna viongozi wangapi hapa Afrika? Kwanini apewe tu Dkt Samia heshima hiyo? Kwanini Dunia nzima ikubali na kupitisha jina lake kuwa Mwenyekiti Mwenza? Ndio muelewe watanzania wenzangu napowaambiaga kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na kwamba kama Afrika ingekuwa nchi moja basi Mama yetu ndiye angekuwa Rais wake. Kwa hakika Mama yetu anaendelea kuliheshimisha sana Taifa letu.

Kwa sasa mtanzania unaweza kusafiri hata bila passport na watu wakasahau kukuuliza pale utakaposema wewe ni mtanzania, kwa kuwa watanzania tumeheshimishwa sana huko Duniani na kufanya tuaminike kama watu makini, waaminifu, wazalendo,akili kubwa na wenye kuiweka Dunia katika hali ya usalama zaidi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan atasafiri kwenda Nchini Ufaransa kuhudhuria na kuwa Mwenyekiti mwenza wa mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia unaowakutanisha Wakuu wa Nchi mbalimbali duniani.

Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi January Makamba leo Jijini Dar es salaam, amesema Rais Samia atakuwa Nchini Ufaransa kwa siku nne kuanzia May 12 hadi May 15 ambapo Tanzania imeshirikishwa kwenye mkutano huo kutokana na jitihada kubwa zinazofanyika ndani ya Tanzania kusukuma ajenda hiyo ya kuwawezesha Watu wote kutumia nishati safi ya kupikia ili kulinda afya zao na kulinda mazingira.

“Mkutano huo una malengo matatu, kwanza kuifanya hii iwe ajenda ya kimataifa na ipate Wadau wengi zaidi, pili ni kuchukua hatua madhubuti za kisera zinazoweza kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, na tatu ni Washiriki Nchi zilizoendelea na Taasisi za Fedha za kimataifa kutoa ahadi za fedha na misaada na Nchi kutoa ahadi za kubadilisha sera na sheria ili kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Akiwa Ufaransa, Dr. Samia anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Ikulu jijini Paris katika kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Nchi hizo mbili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia na kuwa Mwenyekiti Mwenza wa mkutano huo.

Rais wetu amepewa heshima hiyo ya kipekee kabisa kutokaa na mchango wake chanya na juhudi zake kubwa za kuhakikisha kuwa Dunia inaelekeza nguvu zake zote katika matumizi ya nishati safi ya kupikia .na kuachana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa ambazo zimekuwa na athari kubwa sana kimazingira kwa kuchochea ukatwaji wa miti unaopelekea mabadiliko ya tabia ya nchi , pamoja na kuhatarisha afya za watumiaji ambapo vifo vingi sana vimekuwa vikitokea kutokana na matumizi ya nishati hizo za kuni na mkaa.

Katika safari hiyo itakayo mfanya kuwepo nchini Ufaransa kwa siku nne ,itawakutanisha viongozi na wadau mbalimbali kutoka maeneo tofauti tofauti Duniani.lakini pia Rais wetu mpendwa atakutana na Rais wa Ufaransa Mheshimiwa Emmanueli Macron na kufaya Naye mazungumzo ikulu ya Ufaransa katika kuimarisha ushirikiano wa nchi zetu.

Katika mkutano huo mbali na masuala mbalimbali yatakayojadiliwa ,lakini pia mkutano huo utaangazia na kujikita katika kuyashawishi mataifa yaliyoendelea na taasisi za kifedha kutia ahadi ya fedha na kubadili sera na sheria zitakazo chochea matumizi ya nishati safi na salama,kutunga sera zitakazorahisisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.

Ikumbukwe pia kuwa hapa nchini Mheshimiwa Rais ameshaanza kuchukua hatua za kuhakikisha kuwa nishati safi ya kupikia inaanza kutumika kwa taasisi zote zinazohudumia watu wengi ,kama vile kwenye kambi za jeshi,vyuo n.k.lakini pia wadau wamekuwa wakishauri pia serikali iangalie namna ya kupunguza au kuondoa kodi kabisa katika uagizaji wa majiko ya gas ili yauzwe kwa bei ya chini na kumfanya mwanchi Amudu gharama za kununua na kuachana na matumizi ya mkaa na kuni.

Lakini pia wengine wametaka kuwa serikali iangalie namna ya kuweka sera nzuri nazo zitapelekea ujazaji wa gas kushuka na ikiwezekana mtungi mdogo ujazwe gas walau hata kwa shilingi elfu kumi au kama itazidi basi isizidi shilingi elfu kumi na tano.

Tumuombee Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu asafiri salama na kufika salama kabisa katika mkutano huo.lakini pia tumuombee Rais wetu ili Mungu amtie nguvu na kumpatia afya njema wakati wote awapo safarini na katika mkutano huo ambao macho na Dunia nzima yataelekezwa kwake na kumsikiliza Mama Wa Dunia akizungumza na kushusha NONDO zitakazoiteka Dunia.

Jiulizeni kuna viongozi wangapi hapa Afrika? Kwanini apewe tu Dkt Samia heshima hiyo? Kwanini Dunia nzima ikubali na kupitisha jina lake? Ndio muelewe watanzania wenzangu napowaambiaga kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.na kwamba kama Afrika ingekuwa nchi moja basi Mama yetu ndiye angekuwa Rais wake. Kwa hakika Mama yetu anaendelea kuliheshimisha sana Taifa letu.

Kwa sasa mtanzania unaweza kusafiri hata bila passport na watu wakasahau kukuuliza kwa kuwa watanzania tumeheshimishwa sana huko Duniani na kufanya tuaminike kama watu makini ,waaminifu,wazalendo,akili kubwa na wenye kuiweka Dunia katika hali ya usalama zaidi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ukweli usemwe tu bila hila,
huyu Mama Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais anaupiga mwingi 🐒
 
Rais Samia anatarajia kusafiri kwenda Ufaransa ambako pamoja na mazungumzo na mwenyeji wake Bwana Macron pia atakuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa utakaojadili Nishati safi hasa Kwa Wanawake.

Ikumbukwe Samia ameibeba ajenda ya Nishati safi kuanzia kwenye Mkutano wa mazingira na Sasa France ambapo anajaribu kulipa Nguvu Ili zipatikane Shilingi Trilioni 5 za kujifanya Tanzania iondokane na matumizi ya mikaa,na Kuni ambazo licha ya kuharibu mazingira pia zinasababisha vifo vingi Kwa Wanawake.

---
Makamba.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan atasafiri kwenda Nchini Ufaransa kuhudhuria na kuwa Mwenyekiti mwenza wa mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia unaowakutanisha Wakuu wa Nchi mbalimbali duniani.

Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi January Makamba leo Jijini Dar es salaam, amesema Rais Samia atakuwa Nchini Ufaransa kwa siku nne kuanzia May 12 hadi May 15 ambapo Tanzania imeshirikishwa kwenye mkutano huo kutokana na jitihada kubwa zinazofanyika ndani ya Tanzania kusukuma ajenda hiyo ya kuwawezesha Watu wote kutumia nishati safi ya kupikia ili kulinda afya zao na kulinda mazingira.

“Mkutano huo una malengo matatu, kwanza kuifanya hii iwe ajenda ya kimataifa na ipate Wadau wengi zaidi, pili ni kuchukua hatua madhubuti za kisera zinazoweza kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, na tatu ni Washiriki Nchi zilizoendelea na Taasisi za Fedha za kimataifa kutoa ahadi za fedha na misaada na Nchi kutoa ahadi za kubadilisha sera na sheria ili kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Akiwa Ufaransa, Dr. Samia anatarajiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Ikulu jijini Paris katika kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Nchi hizo mbili.

My Take
Samia anazidi kupata global recognition. Pia soma Rais Samia azindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai, leo Disemba 2, 2023
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia na kuwa Mwenyekiti Mwenza wa mkutano huo.

Rais wetu amepewa heshima hiyo ya kipekee kabisa kutokana kutambua mchango wake chanya na juhudi zake kubwa za kuhakikisha kuwa Dunia inaelekeza nguvu zake zote katika matumizi ya nishati safi ya kupikia .na kuachana na matumizi ya nishati ya kuni na mkaa, ambazo zimekuwa na athari kubwa sana kimazingira kwa kuchochea ukatwaji wa miti unaopelekea mabadiliko ya tabia ya nchi , pamoja na kuhatarisha afya za watumiaji ambapo vifo vingi sana vimekuwa vikitokea kutokana na matumizi ya nishati hizo za kuni na mkaa kila mwaka..

Katika safari hiyo itakayo mfanya kuwepo nchini Ufaransa kwa siku nne ,itawakutanisha viongozi na wadau mbalimbali kutoka maeneo tofauti tofauti Duniani.lakini pia Rais wetu mpendwa atakutana na Rais wa Ufaransa Mheshimiwa Emmanueli Macron na kufanya Naye mazungumzo ikulu ya Ufaransa katika kuimarisha ushirikiano wa nchi zetu.

Katika mkutano huo mbali na masuala mbalimbali yatakayojadiliwa ,lakini pia mkutano huo utaangazia na kujikita katika kuyashawishi mataifa yaliyoendelea na taasisi za kifedha kutoa ahadi ya fedha na kubadili sera na sheria zitakazo chochea matumizi ya nishati safi na salama,kutunga sera zitakazorahisisha matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia.

Ikumbukwe pia kuwa hapa nchini Mheshimiwa Rais ameshaanza kuchukua hatua za kuhakikisha kuwa nishati safi ya kupikia inaanza kutumika kwa taasisi zote zinazohudumia watu wengi ,kama vile kwenye kambi za jeshi,vyuo n.k.lakini pia wadau wamekuwa wakishauri pia serikali iangalie namna ya kupunguza au kuondoa kodi kabisa katika uagizaji wa majiko ya gas ili yauzwe kwa bei ya chini na kumfanya mwananchi Amudu gharama za kununua na kuachana na matumizi ya mkaa na kuni.

Lakini pia wengine wametaka kuwa serikali iangalie namna ya kuweka sera nzuri ambazo zitapelekea ujazaji wa gas kushuka na ikiwezekana mtungi mdogo ujazwe gas na mwananchi walau hata kwa shilingi elfu kumi au kama itazidi basi isizidi shilingi elfu kumi na tano.jambo ambalo serikali yetu imesema lengo ni kumfanya kila mtanzania atumie nishati safi ya kupikia na tayari imeweka mikakati ya kuhakikisha nishati hiyo inapatikana kwa bei ndogo kabisa ambayo kila mtu ataimudu na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa.

Tumuombee Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu asafiri salama na kufika salama kabisa katika mkutano huo.lakini pia tumuombee Rais wetu ili Mungu amtie nguvu na kumpatia afya njema wakati wote awapo safarini na katika mkutano huo ambao macho na Dunia nzima yataelekezwa kwake na kumsikiliza Mama Wa Dunia akizungumza na kushusha NONDO zitakazoiteka Dunia hakuipa Elimu ya nishati safi ya kupikia hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa Rais Samia Kama Mama anatambua athari za matumizi ya kuni na mkaa kiafya.

Jiulizeni kuna viongozi wangapi hapa Afrika? Kwanini apewe tu Dkt Samia heshima hiyo? Kwanini Dunia nzima ikubali na kupitisha jina lake kuwa Mwenyekiti Mwenza? Ndio muelewe watanzania wenzangu napowaambiaga kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe.na kwamba kama Afrika ingekuwa nchi moja basi Mama yetu ndiye angekuwa Rais wake. Kwa hakika Mama yetu anaendelea kuliheshimisha sana Taifa letu.

Kwa sasa mtanzania unaweza kusafiri hata bila passport na watu wakasahau kukuuliza pale utakaposema wewe ni mtanzania,kwa kuwa watanzania tumeheshimishwa sana huko Duniani na kufanya tuaminike kama watu makini ,waaminifu,wazalendo,akili kubwa na wenye kuiweka Dunia katika hali ya usalama zaidi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1789308351190339928?t=OxrIoLS12Uxm43Nq9myoBQ&s=19
 
Back
Top Bottom