UWT yampongeza Rais Samia kwa uzinduzi wa wa mkakati wa taifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia 2024-2034

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
799
510
UWT YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UZINDUZI WA WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034

🗓️ 8 Mei 2024
📍JNICC-Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa matumizi ya Nishati safi ya kupikia 2024-2034.

Mwenyekiti Chatanda amesema kuwa UWT itakwenda kuwaelimisha wanawake na jamii Kwa ujumla nchini kuondokana na kutumia kuni na mkaa ili kupunguza maradhi na vifo na kusisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

Hafla ya uzinduzi wa mkakati wa Taifa wa matumizi ya Nishati safi ya kupikia 2024-2034 imefanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, Mei 08, 2024.
 
Attachments

  • IMG-20240509-WA0013.jpg
    IMG-20240509-WA0013.jpg
    309.3 KB · Views: 2
  • IMG-20240509-WA0015.jpg
    IMG-20240509-WA0015.jpg
    334.9 KB · Views: 2
  • IMG-20240509-WA0010.jpg
    IMG-20240509-WA0010.jpg
    377.6 KB · Views: 1
  • IMG-20240509-WA0011.jpg
    IMG-20240509-WA0011.jpg
    356.4 KB · Views: 2
  • IMG-20240509-WA0012.jpg
    IMG-20240509-WA0012.jpg
    323.6 KB · Views: 2
  • IMG-20240509-WA0014.jpg
    IMG-20240509-WA0014.jpg
    377 KB · Views: 2
Na Gesi imepungua bei na umeme umepunguwa bei

Sasa kuni mkaa kwa herii

Ni mwendo wa Mapambio tu njaa njaa
 
UWT YAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UZINDUZI WA WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034

🗓️ 8 Mei 2024
📍JNICC-Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa matumizi ya Nishati safi ya kupikia 2024-2034.

Mwenyekiti Chatanda amesema kuwa UWT itakwenda kuwaelimisha wanawake na jamii Kwa ujumla nchini kuondokana na kutumia kuni na mkaa ili kupunguza maradhi na vifo na kusisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

Hafla ya uzinduzi wa mkakati wa Taifa wa matumizi ya Nishati safi ya kupikia 2024-2034 imefanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, Mei 08, 2024.
well done comrade Dr.Samia Suluhu Hassan...:KasugaYeah:

well done UWT fraternity :KasugaYeah:
 
Back
Top Bottom